Wadada kuweni makini na hawa!!

Vipi kuhusu Machafuko, Masumbuko, Havijawa na Hamnazo. Msaada tafadhali Eiyer, nataka kufanya maamuzi magumu
 
kuna joseph mmoja namjua,
kweli anajipenda na ana dharau kiaina,
sijui kama ni kiwembe,ameoa mzungu,
ila huwa ananiangaliaga kwa jicho la kunitamani.

asee usipotee ivo queen...sawa ehh
apo bold ilo jicho huwa linakuwaje?
merry xmas
 
we Canta wewe....hebu kwanza Eiyer atupe marejeo ya huo utafiti wake....maanake kaandika tu majina ya miji hapo....la sivyo tunawavictimise kina Papaa Jose lol

Bwana shemeji,usihofu utafiti mara nyingi huleta mitafaruku,ila ni kawaida tu!
 
Sasa utasababisha watu wanapoenda kuanza mahusiaono wasiseme majina yao kamili.
 
Ama kweli dunia bado inakua. Sisi ambao hatunywi wala kuvuta tunaambiwa ni wapenda ngono na wanawake tofauti tofauti. Tulio wakimya tunaambiwa ni wapenda ngono na mambo ya chini chini, basi ili mradi tu mcharuko.

Cha ajbu bado sijasikia 'utafiti au ramli' inayohusisha majina na mambo ya maendeleo. Na hapa naanza kuamini kale kawimbo eti 'mapenzi yana run dunia'
 
Vipi kuhusu Machafuko, Masumbuko, Havijawa na Hamnazo. Msaada tafadhali Eiyer, nataka kufanya maamuzi magumu

Hao majina yao yanajieleza,unaanza mahusiano na Hamnazo unategemea nini mam'dogo King'asti?
 
kuna joseph mmoja namjua,
kweli anajipenda na ana dharau kiaina,
sijui kama ni kiwembe,ameoa mzungu,
ila huwa ananiangaliaga kwa jicho la kunitamani.

kupotea iko nje ya uwezo wangu,
ila nilikumiss,(dada ashadii ni kwa wema tu)
hapo bold siwezi kukuelezea ila wasichana wenzangu wanaelewa,
compliments of the season to you too kaizer

kupotea iko nje ya uwezo wangu,
ila nilikumiss,(dada ashadii ni kwa wema tu)
hapo bold siwezi kukuelezea ila wasichana wenzangu wanaelewa,
compliments of the season to you too kaizer

Teh,tehe,teh,teh!Duuuuuh!
 
Duh! Cna la kuongeza labda hilo ni jb la swal langu kuhusu huyu jiran ye2 ambaye ana vtabia hivyo hivyo!!
 
Back
Top Bottom