Wadada kuweni makini na hawa!!

Namjua Joseph mmoja mpole na mtulivu kupitiliza.Ni mmoja kati ya watu waliotulia hapa duniani.
 
Namjua Joseph mmoja mpole na mtulivu kupitiliza.Ni mmoja kati ya watu waliotulia hapa duniani.

Inawezekana,lakini pia hata waliofanyiwa utafiti sio wote waliotoa majibu yakufanana lakini WENGI wao!Ningependa kujua kama kuna mwingine zaidi ya huyo MMOJA!
 
Inawezekana,lakini pia hata waliofanyiwa utafiti sio wote waliotoa majibu yakufanana lakini WENGI wao!Ningependa kujua kama kuna mwingine zaidi ya huyo MMOJA!
Yupo mwingine, sijaona ubaya wake zaidi ya kujipenda.
 
huu umbea sasa! Umechunguza pia kwanini wanabadilisha wadada kama nguo!? au kwanin wanadharau!? labda kuna sababu katika hilo jina.....lol
 
huu umbea sasa! Umechunguza pia kwanini wanabadilisha wadada kama nguo!? au kwanin wanadharau!? labda kuna sababu katika hilo jina.....lol

Jibu lako lipo kwenye huo mstari wako wa mwisho uliposema"labda kuna sababu katika hilo jina"!
 
Hakuna coincidence wala uchunguzi hapa. Reading between the lines, muanzisha mada anashindania mwanamke na Somebody Joseph sasa anataka kutumia jukwaa hili kumbadili akili huyo msichana kuhusu Joseph (mpinzani wa mwanzisha mada) ili apate ushindi wa mezani. WanaJF mkiyazingatia haya mtakubaliana na mimi:

1. Why Joseph? (huu uchunguzi umefanywa na nani na kwa nini unamhusu Joseph tu)
2. Mbona ni tabia 3 tu na zote negative, ina maana hawa kina Joseph hawana mahusiano mazuri na watu wengine?
3. Mtu mwenye dharau hawezi kubadilisha wanawake kila leo. Hakuna womanizer mwenye dharau (dharau ndio kitu mwanamke anakibaini kwa mwanaume haraka zaidi ya mapenzi yenyewe)
4. Hakuna unniversal characteristic ya kugroup jina moja. NIngeelewa kama ningeambiwa 'wenye majina ya Joseph, Jamal, Justina nk wana tabia a,b,c)

Mimi nachomshauri muanzisha mada, utongozaji wa namna hii umepitwa na wakati. Kama wewe na Bw. Joseph mnagombea demu hii siyo strategy. Demu mnayemgombea akibaini hila zako atakuwa more impressed kwa Joseph ambaye yeye atamchukulia kuwa nafuu zaidi yako na ukumbuke wanawake hawapendi wanaume wasiojiamini.
 
majina haya mimi no comments
1.john
2.ally
3 khadijah
4 anna
5 jenny...
6 mariam....
 
mmmh kuna joseph wa3 hapa kitaa ni nouma
wat abt david kuna kina cameron ,jairo, mataka etc afu wooote watata hao.
 
Names ain't saying shit about you son! You are shaped by the environment that sorrounds you. No names, no zodiac signs determine that. Cut out the crap
 
Back
Top Bottom