kwani shida ni nini?
nipo ofsini sijavaa dera ila wkend nikienda sokoni nachomekea !Kwa iyo we apo umechomeka?
nipo ofsini sijavaa dera ila wkend nikienda sokoni nachomekea !
unachomekea kwa upande then unaanza kujivibretisha!..halafu ukute ni haya madera ya plastic wewe! nadhani ndo kaka jambazi alikutana nayo!watajibebaje!hahahaaa...... Smile unalichomekea lote? LOL!
Mi huwa napenda kulishikilia kama naliinua flani hivi lisichafuke chini!!!!!
Undersketi....loh..Ni ile kitu wadada wanavaa kwa ndani wakivalia magauni..
Kweli kabisa watu8 lina majina mengiOkay kumbe ndio alternative name yake eenh...wengine huita gagulo...
Okay kumbe ndio alternative name yake eenh...wengine huita gagulo...
unachomekea kwa upande then unaanza kujivibretisha!..halafu ukute ni haya madera ya plastic wewe! nadhani ndo kaka jambazi alikutana nayo!watajibebaje!
unachomekea kwa upande then unaanza kujivibretisha!..halafu ukute ni haya madera ya plastic wewe! nadhani ndo kaka jambazi alikutana nayo!watajibebaje!
hamsini hamsini miaahahaaaaa madera ya plastic hatari sana..............singida dodoma unaiona ileeeeeeee
linachomekwa kwenye RINDA bwana....
Gagulo Kibibi JongoRinda ndio nini mimi?
'gagulo' jina baya! Mtu akisema amevaa gagulo nahisi kama kavaa gunia