Wadada kuchomekea gauni kwenye chupi !

Wewe inakuhusu nini?

Unajuaje kwanza kama wanachomeka kwenye chupi?

Ili uwe mwanaume, unatakiwa kuwa tofauti na wanawake.

Tuondolee tabia za kishamba hapa, kukaa unafuata fuata wanawake kama huna mambo ya muhimu ya kufanya.
Kama tabia yako ni kufuatilia fuatilia mambo ya kike, mkeo ana hasara.

Hii tabia imekuwa kubwa sasa ukipita mitaani utakutana na wadada wamevaa nguo hasa madela wamechomekea kwenye chup-i. Mtu amekunja dela kidogo upande wa mbele au pemben alafu kachopeka chupi_ni utadhan ni shati kwenye kaptula. Hivi hii nayo ni style mpya ya uvaaji au
 
Wewe inakuhusu nini?

Unajuaje kwanza kama wanachomeka kwenye chupi?

Ili uwe mwanaume, unatakiwa kuwa tofauti na wanawake.

Tuondolee tabia za kishamba hapa, kukaa unafuata fuata wanawake kama huna mambo ya muhimu ya kufanya.
Kama tabia yako ni kufuatilia fuatilia mambo ya kike, mkeo ana hasara.

kwa jazba hizi nadhani nawe ndo walewale wachomekeaji. Nadhan jiwe la gizani limekupata
 
Hiyo ishapipitwa na wakati, now kuna staili mpya ya uvaaji della nyepesiiii inaonyesha a_z ndani wanavaa kisidiria tu na taiti ndefu.
 
Aiseee kweli bana, Mimi sikulitilia maanani nilipoona nilidhani labda alovaa vile huenda dera lake labda kubwa sana linajiburuta chini sasa anajaribu kulipandisha likae sawa, kumbe ni style ya uvaaji!!! Ama kweli wanawake hawaishi vioja mpaka Jesus atakaporudi
 
ni style mpya hiyo mkuu
 
Nakumbuka kitambo thread kama hii ilirushwa na mapicha kibao... ngoja niingie kwenye Archives.
 
Back
Top Bottom