Wadada basi hata aibu hakuna??

we unajipa misifa tu, mda wa kazi umeaisha sasa nikacheki miradi yangu
 
Kuna kawimbo ka pwani kanaimba..."wape wape vodonge vyao, wakimeza wakitema, shauri yao"


Ila ngoja kidogo, kale ka mfumo dume kanaanza kwisha nini? Demu anakutokea live...sasa hapo unakuwa unang'ata vidole ama?
nang,ata kucha za miguuni
 
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.


Usilalamike mkuu. Uzuri wa madada wa kibongo si hapa Bongo tu kwani hata nje ya nchi wanasifika sana kwa huruma na ugawaji wao usio na choyo kwenye jamii.
 
Katika watu ambao nimeanza wafahamu hawana hatma ni weee hapo yaani unashindwa kula nyama kwa sababu tu nyumbani wamepika nyama....Lione kwanza hizo hadithi zako kama unaona ni nzuri kamwadithie Kiongozi wako wa Kanisa..
 
  • Thanks
Reactions: irk
Binadamu tuna mitazamo tofauti sana. sion sababu ya kuleta huu uzi hapa cause kama mwanaume na nimekupenda pia kwa msimamo wako, ungetakiwa kupiga kimya na uendelee na shughuli zako. Hata kumuuliza huyo mfanyakazi mwingine inaonyesha usivyojiamin cause haikuwa na sababu hata kidogo.
Na unaonyesha una misifa ya 18yrs cause mwanaume huwez kujisifia eti uhandsome uliutambua ukiwa abroad, so ukiwa TZ hukuwa unajitambua sio?

Hivi unafikiri ni wanaume wangapi wanatongoza wake za watu na wachumba za watu? kutongoza au kutongozwa sio kosa. Ni wewe na misimamo yako kusema no au yes na maisha yanaenda.

Watu wangekuwa wanahadithiana wanavyotongozwa sidhan kama hapa pangetosha kuelezea hizi makitu.

That is my opinion only and not otherwise.
 
  • Thanks
Reactions: irk

Similar Discussions

Back
Top Bottom