Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue.

Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia love. Siku nyingine nikamwambia akipata nafasi aje Hotelini nilipofikia achukue zawadi zake. Akashtuka.

Akasema mbona sikumwambia kuwa nimemletea zawadi. Nikamjibu it was a surprise lakini kwa vile ameshindwa kuja nimeona nimwambie tu. Akauliza naondoka lini kwani. Nikamwambia kesho na ndege ya jioni.

Akaniambia angekuja kesho asubuhi kuchukua zawadi zake. Nikamwambia tu haya ni wewe tu kama utanikuta au usiponikuta nitaangalia nafanyaje maana siwaamini sana watu wa hotel ila kama ana rafiki yake amtume aje. Akasema hapana atakuja mwenyewe.

Kesho yake saa 5 huyu hapa. Nilimkanda kinyama, nlimsugua sana. Naye alijitahidi akijua baada ya hapo atapata na zawad jioni tunatoka anakumbusha zawadi zake. Nlimwambia tu aache ufala. Mimi siliwi nauli yangu.

Leo nmekumbuka hiki kisa baada ya demu mmoja naye kuomba nimtumie nauli. Mimi kama demu hana nauli ya kujia nilipo simtaki. Huyu akabembeleza. Nikamtumia tsh 5,000.imeingia kwake tu nikawazaaaaa. Nikairudisha. Imerudi kwangu. Nimemwambia kama anataka aje nitamrudishia nauli kama hataki alale mbele.

Nikawaza daaaah. Si kwa ubahili huu. Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe. This is too much
 
Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue.

Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia love. Siku nyingine nikamwambia akipata nafasi aje Hotelini nilipofikia achukue zawadi zake. Akashtuka.

Akasema mbona sikumwambia kuwa nimemletea zawadi. Nikamjibu it was a surprise lakini kwa vile ameshindwa kuja nimeona nimwambie tu. Akauliza naondoka lini kwani. Nikamwambia kesho na ndege ya jioni.

Akaniambia angekuja kesho asubuhi kuchukua zawadi zake. Nikamwambia tu haya ni wewe tu kama utanikuta au usiponikuta nitaangalia nafanyaje maana siwaamini sana watu wa hotel ila kama ana rafiki yake amtume aje. Akasema hapana atakuja mwenyewe.

Kesho yake saa 5 huyu hapa. Nilimkanda kinyama, nlimsugua sana. Naye alijitahidi akijua baada ya hapo atapata na zawad jioni tunatoka anakumbusha zawadi zake. Nlimwambia tu aache ufala. Mimi siliwi nauli yangu.

Leo nmekumbuka hiki kisa baada ya demu mmoja mpuuzi naye kuomba nimtumie nauli. Mimi kama demu hana nauli ya kujia nilipo simtaki. Huyu akabembeleza. Nikamtumia tsh 5,000.imeingia kwake tu nikawazaaaaa... Nikairudisha.... Imerudi kwangu. Nimemwambia kama anataka aje nitamrudishia nauli kama hataki alale mbele.

Nikawaza daaaah.... Si kwa ubahili huu. Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe. This is too much
safi sana. unaituma kisha unarudisha. maana yake nauli ipo yeye akope akiweza aje nauli ataikuta. good
 
Back
Top Bottom