Wadada basi hata aibu hakuna??

Sifa za kijinga. So what!! kani kutongozwa kitu gani? au ili tujua ushawahi kupanda ndege?!
 
Kwani uganda sio abroad! Ama vile kaenda na basi? Mbona kuna mtu aliomba ushauri hapa wa kukwea pipa to nairobi? Muache mwenzio bana ana passport huyo, hata kama ya kikaratasi

Kuna abroad na overseas,, this are two different things,, so handsome boy anadai aligundua u handsome wake abroad,, sipati picha akifika na overseas itakuaje..

Note that overseas can be reached through cut across seas and must be out of the continent while abroad include kenya, somalia, zambia kwa uamsho hapo jirani etc
 
Akhhhu! Mwenzio mie hata nikienda malawi nasindikizwa kituo cha basi na ukoo mzima na naulizwa kama nimekumbuka yellow card na passport. Ni abroa sema sio ulaya. Ukivuka bahari tu inakuwa ulaya hata kama ni india.:bowl:

Even india ni abroad, and also oversea,,

Ukivuka bahari tunasema umeenda overseas as you cut across sea so hapa lazima pawe out of continent,, so mtoa mada anadai alienda abroad,
Ambapo hata kenya ni abroad but sio overseas..

Huo ndo uelewa wangu labda mniweke sawa wataalamu..

India is another continent na ili ufike india lazima uvuke bahari so atleast huko ni oversea as you spend around 10 hours on world class flight,,, but malawi na kwenya mmh mmmh sizani...

So mtoa mada njoo utupe jibu kwanza la swali ilikuaje ukagundua u handsome wako abroad? Na unazungumzia abroad ya wapi?
 
jamii01, umerudi lini kutoka abroad, mara umeshaoa na kuoa?

Mie siyo mzinzi kiasi hicho unajua kuna wanaume inshu kama hizi wanaona hadithi lakini mie na experience nazo zaidi ya mara 6 au 7 hivi kipindi nilipokuwa A'level ilikuwa day school,Chuo pia na kipindi nafanya kazi miaka ya 2009,

Ukiona mwanamke anakutamkia hivyo huyo ni mzizi...atatamani wangapi?kuna watu wengine hawajui kama wanawake huwa wanatamani lakini mie na experience hiyo wanawake huwa wanatamani sana na hasa ukimjari sana zaidi hata mpenzi wake,Mpigie simu,mtie moyo,msaidie,unamuuliza maswali umekula unajisikiaje na mengineyo..utaona jinsi unavyomvuta hisia zake..sasa wanaume wanakimbilia kutongoza au kuwa busy kutafuta pesa na kuonga pesa..
 
upo darasa la ngapi na hz hadithi zako zinatufundisha nn?

Mwambieni aweke picha maana atakuwa anatangaza biashara, sjui km anajua pwani hii maana sie wanaume wengine huwa tunawala wanaume vilevile, kwa siri lakini labda yeye tu atangaze, na ela nyingi hutoa pia
 
Wewe ndo umepotea njia...
Tena hapo si ndo atapewa bila kinyongo?
Unadhani angesema hivyo ndo angewakimbiza??

hahaha wewe mie sikumaanisha kuwa hatapewa...najua kabisa goma atampa jamaa tigo so basi jamaa atajienjoy kwa raha zake
 
Kuna abroad na overseas,, this are two different things,, so handsome boy anadai aligundua u handsome wake abroad,, sipati picha akifika na overseas itakuaje..

Note that overseas can be reached through cut across seas and must be out of the continent while abroad include kenya, somalia, zambia kwa uamsho hapo jirani etc

these are two different things.
 
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.

Sio kweli, leta ushahidi ili tukubali
 
haaaaa...nyie ndiyo wale wale tu..mnatongoza vijana hata aibu hakuna..Alafu useme Ukimwi utakuja kuisha sehemu ya kazi,Mie siyo mrahisi kiasi hicho,siwezi kufanya upuuzi huo kwa mwanamke yoyote yule,zaidi ya mke wangu ananiamini na mimi nina mwamini..na sioni sababu ya kutoka nje ya ndoa yangu kama kila kitu napata kutoka kwa mke wangu tunaaishi kwa furaha,upendo na amani..tunajariana na tunachukuliana kwa kila hatua na mapungufu yetu.

Natafuta nini sasa..wanawake wote ni sawa tofauti ni sura,maumbile na kujituma..Ukiangaika sana utapata usilolitegemea...unapteza family yako yote na ndoto zako.mapenzi ni zaidi ya kugonoka..
Uko sawa mkuu nimekukubali. Km mtu ambaye anajielewa lzm uwe na msimamo. Magonjwa meng na watu weng hufikir mapenz ni kugegedana tu no mapenz ni zaid ya hayo.
Mm mwenyw nipo na mke wangu siwez kuchepuka nampenda sana ndio maana nimemuoa.
 
Ndoa hizi! wewe unaremba remba hapo ofisini, mkeo anaputua tu kitaani. kuoa/kuolewa inahitaji moyo wa ujasiri sana!
 
Leo nimeingia zangu kazini kama kawaida,mara akaja dada mmoja ameolewa jicho kavu hata aibu hana akasema unajua J yaani mimi. wewe ni handsome na unamvuto wa kila mwanamke humu ndani na kila mdada anakuzungumzia wewe wewe ni chaguo sahihi..ni kamwambia Asante na ninalitambua hilo toka nilipokuwa abroad nikisoma.

Akamaliza,Sasa J.tutakwenda lini wote dinner...nikamtazama nikamwambia si unajua mie nina mke hata miezi sita sijamaliza kwenye ndoa yangu...siwezi kwenda sehemu bila ya mke wangu kujua akajibu..wewe una mke nyumbani na mimi nina mume nyumbani....haaaa alinimaliza nguvu,nikamwambia kama umetumwa aliyekutuma kamwambie umeshidwa..Akaondoka zake huku akijitingisha...

Mchana nikamwita dada mmoja naye tunafanya naye kazi nikamuuliza baada ya kumwelezea kila kitu alichonijibu hata sikuamini masiko yangu.."kila binti humu ndani anakuta sema wanaogopa namna ya kukuanza"nikamwambia asante,message imenifikia...nikawamwambia asanteni mie najua huwa ni masiala tunapotaniana humu ndani ndiyo nikapata picha kamili za kuwa napigiwa simu usiku na sms..nikaachana naye..

Dada zangu naomba basi muwe hata na uso wa aibu yaani unamtaka mtu na huku ukijua kabisa ni mume wa mtu na tena hata kwenye harusi ulikwepo na unajua ndoa yao bado changa mapenzi bado motomoto unaingiza ushetani wako.Tafadhari acheni.
Me naona umekuja kutafuta mabint humu ndani, eti wewe handsome na umesoma abroad, yan ulivoandika tu inaonesha how short sighted you are, umeweka maelezo unnecessary kabisa. Kama kwel ulikua huko abroad basi bila shaka ulitutia aibu nyingi sana watz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom