Wadada adhabu nyingine ni mateso-Msaada plz

Mmmmmmmmmmmmmh!!!!!!! Sasa kama kapigwa soletap simu kachukuaje?

Ha ha ha, kama wapelelezi vile maswali yao. Labda zimebandikwa mwilini tu, sio amegundishiwa kitandani. Na stori inasema viganja na mdomo havijapigwa plasta.
 
Jaribu spirit,aisee mh hasira mbaya jamani,ila ndo awe na adabu,ila dada hana huruma!
 
Du tungepata picha yake!!!
Dawa ni rahisi km walivyosema
  • kwa cellotape (solution tape) hiyo ni ya nylon kufungia vitu vya umeme (hata iwe seltape karatasi gundi) tumia maji ya uvuguvugu itaanza kuyeyuka na kutoka
  • km ni ile ya nyeupe /colourless ya kufungia makaratasi hiyo ni kiboko kanunue petrol au Benzene itayeyuka yote
Mpe salamu Dada F mwambie hilo liDushelelee la jamaa lisije mpeleka Segerea awaachie na wenzake yote yanafanana atafute mitindo jamaa atampenda tu
 
hapo kwenye red, mafundi wa mtaan wamekuponza
Insulation tape
 
Mbona rahisi. Tumia conc. hydrochloric acid, mwaga kwenye hiyo sellotape (au ni cellotape?) itatoka yenyewe!!!!

Uliyeomba ushauri ukijaribu kutumia hii mbinu ya huyu jamaa utaua halafu kitakunukia.jaribu kutumia maji ya vuguvugu
 
Dunia ina mambo! I wish hii post ningeisoma 4 yrs ago...kuna kiumbe kingesuffer the same consikwens!
 
Back
Top Bottom