Wadada adhabu nyingine ni mateso-Msaada plz

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Happy Eid wote., ingawa najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje.

:focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa karibu sana. Wakati ananicall me nilikuwa najiandaa kutoka, lakini akasisitiza sana. Nikasema ngoja nikamsikilize.
Akaniambia nikifika nipite room kwake direct, nikasema sawa ila sitokaa sana, hakujibu neno.

Mi huyo nikachukua ndinga hadi kwake, kama alivyosema nikapita moja hadi room kwake, nilichokiona hakyanani sikuwahi fikiria kuna vitu kama vile. Jamaa alikuwa kalala kitandani mwili mzima kapigwa soltap(Zile karatasi gundi) mwili mzima mbaya zaidi jamaa ana nywele za kumwaga mwilini hadi huwa tunamtania kuwa yupo still kwa transision kuwa binadamu kamili.

Nikapigwa na butwaa, nikauliza ndo mauza uza gani tena hayo, akasema hivi, nanukuu, "Mdogo wangu hii dunia we iache kama ilivyo, najua nastahili adhabu lakini sio hii".
Ikabidi nimuulize nini hasa kimemfanya akufanyie hivo? Jamaa akasema kuwa F alimfumania jamaa anamkiss mdada mwingine bar. Ikabidi nimcall huyo F kumuuliza why amechukua uamuzi kama ule binti akasema amevumilia amechoka, kumbe ashamfumania jamaa sio kukiss tu zaidi ya mara nne. Binti alichoamua ni kumdrug msela then akambeba hadi home. Akamchojoa nguo zote kisha akampiga soltape mwili mzima, I mean except viganjani na kichwani na kwa nyayo.

Nimejaribu kunyofoa sehemu moja, imetoka na nywele, jasho linamtoka hapa jamaa hadi huruma. Atleast zingekuwa za karatasi may be zingesalenda kwa maji, but ni hizi za nailon. Nimemwambia naenda kutafuta msaada, ndo nikasema may be naweza pata msaada hapa.

Ni solution gani ambayo inaweza lainisha hizi gundi ili zitoke bila tatizo?
Please, this is serious.
 
Sijakuelewa, nadhani unatumia simu wakati issue yenyewe inabidi kila kitu kiwe wazi.
 
Happy Eid wote., ingawa
najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje.

:focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia
ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa karibu sana.
Wakati ananicall me nilikuwa najiandaa kutoka, lakini akasisitiza sana.
Nikasema ngoja nikamsikilize.
Akaniambia nikifika nipite room kwake direct, nikasema sawa ila sitokaa
sana, hakujibu neno.

Mi huyo nikachukua ndinga hadi kwake, kama alivyosema nikapita moja hadi
room kwake, nilichokiona hakyanani sikuwahi fikiria kuna vitu kama
vile. Jamaa alikuwa kalala kitandani mwili mzima kapigwa soltap(Zile
karatasi gundi) mwili mzima mbaya zaidi jamaa ana nywele za kumwaga
mwilini hadi huwa tunamtania kuwa yupo still kwa transision kuwa
binadamu kamili.

Nikapigwa na butwaa, nikauliza ndo mauza uza gani tena hayo, akasema
hivi, nanukuu, "Mdogo wangu hii dunia we iache kama ilivyo, najua
nastahili adhabu lakini sio hii".
Ikabidi nimuulize nini hasa kimemfanya akufanyie hivo? Jamaa akasema
kuwa F alimfumania jamaa anamkiss mdada mwingine bar. Ikabidi nimcall
huyo F kumuuliza why amechukua uamuzi kama ule binti akasema amevumilia
amechoka, kumbe ashamfumania jamaa sio kukiss tu zaidi ya mara nne.
Binti alichoamua ni kumdrug msela then akambeba hadi home. Akamchojoa
nguo zote kisha akampiga soltape mwili mzima, I mean except viganjani na
kichwani na kwa nyayo.

Nimejaribu kunyofoa sehemu moja, imetoka na nywele, jasho linamtoka hapa
jamaa hadi huruma. Atleast zingekuwa za karatasi may be zingesalenda
kwa maji, but ni hizi za nailon. Nimemwambia naenda kutafuta msaada, ndo
nikasema may be naweza pata msaada hapa.

Ni solution gani ambayo inaweza lainisha hizi gundi ili zitoke bila
tatizo?
Please, this is serious.

hiyo adhabu haikubaliki....labda jaribu kutumia maji ya uvuguvugu mkuu...pole kwake
 
AHAHAHHAHHAHHAHHAAH HII KALI! Mtambuzi njoo usome huku!na walahi lazima niiprint hii na kumpelekea mama ngina!inakufaa sana wewe hii!
 
Last edited by a moderator:
hahhaha the lady is genious ila tu namlaumu ukshamfumania mwanaume unamganda wa nini fuska habadiliki
 
Adhabu tosha sana kwa sikukuu ya leo,hadi akimaliza kubandua hiyo solution tape,na heshima itarudi kwa F wake
 
Happy Eid wote., ingawa najua kwangu Eid probably sijui itakuwaje.

:focus: Nimepigiwa simu na rafiki yangu like 30 minutes ago kaniambia ana matatizo na amenicall mimi kwa kuwa ni mtu wake wa karibu sana. Wakati ananicall me nilikuwa najiandaa kutoka, lakini akasisitiza sana. Nikasema ngoja nikamsikilize.
Akaniambia nikifika nipite room kwake direct, nikasema sawa ila sitokaa sana, hakujibu neno.

Mi huyo nikachukua ndinga hadi kwake, kama alivyosema nikapita moja hadi room kwake, nilichokiona hakyanani sikuwahi fikiria kuna vitu kama vile. Jamaa alikuwa kalala kitandani mwili mzima kapigwa soltap(Zile karatasi gundi) mwili mzima mbaya zaidi jamaa ana nywele za kumwaga mwilini hadi huwa tunamtania kuwa yupo still kwa transision kuwa binadamu kamili.

Nikapigwa na butwaa, nikauliza ndo mauza uza gani tena hayo, akasema hivi, nanukuu, "Mdogo wangu hii dunia we iache kama ilivyo, najua nastahili adhabu lakini sio hii".
Ikabidi nimuulize nini hasa kimemfanya akufanyie hivo? Jamaa akasema kuwa F alimfumania jamaa anamkiss mdada mwingine bar. Ikabidi nimcall huyo F kumuuliza why amechukua uamuzi kama ule binti akasema amevumilia amechoka, kumbe ashamfumania jamaa sio kukiss tu zaidi ya mara nne. Binti alichoamua ni kumdrug msela then akambeba hadi home. Akamchojoa nguo zote kisha akampiga soltape mwili mzima, I mean except viganjani na kichwani na kwa nyayo.

Nimejaribu kunyofoa sehemu moja, imetoka na nywele, jasho linamtoka hapa jamaa hadi huruma. Atleast zingekuwa za karatasi may be zingesalenda kwa maji, but ni hizi za nailon. Nimemwambia naenda kutafuta msaada, ndo nikasema may be naweza pata msaada hapa.

Ni solution gani ambayo inaweza lainisha hizi gundi ili zitoke bila tatizo?
Please, this is serious.

duu kwanza ninampa pole sana kwa yaliyomkuta ila nina swali sasa kama alikuwa amefungwa mwili mzima aliwezaje kukupigia simu?
na kama mikono ilikuwa huru kwanini hakujifungua mwenyewe sehemu nyingine mpaka akusubiri wewe?
 
Yani kabla sijamwonea huruma huyu swahiba nimejikuta kwanza nacheeeeka. Khaa

On serious note ni afadhali ya mwanaume mzinzi kuliko mwanamke gaidi! Kum-drug mtu lazima mwanamke huyu ni mzoefu wa mambo flani. Hatari sana.

Ili liwe fundisho kwake na kwa magaidi wenzake, nenda karipoti polisi. Usisahau kumwambia jamaa aseme demu kasepa na 5m zake.

Mkuu kubandua hiyo makitu omba msaada wa daktari vinginevyo utammenya jamaa ngozi, hasa ya hiyo dudu. Source: Kongosho, snowhite.
 
Last edited by a moderator:
Mbona rahisi. Tumia conc. hydrochloric acid, mwaga kwenye hiyo sellotape (au ni cellotape?) itatoka yenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom