Wadad wa JF na tabia zao....!!!

some things are beta said if nothing is said at all,cnt u just make the world beta place for everyone?yanini malumbano?naomba uwe mwerevu na umwambie yy mwenyewe sisi hapa hayatuhusu kabisaaaaaaaaaaaaaa,your real becoming toooo low
PakaJimmy ana roho mbaya,mnoko,mshari,mchonganishi,mgomvi, hapendi maendeleo ya watu
 
Mmmmmh, hujachanganya majina kweli??
Huyu Pakajimmy ninaemfahamu hapa hana wasifu huo hata tone. Tena kama unataka Amani acha kabisa kulitaja hili jina bila sababu. Kitakachofuata kama huachi usilie.
 
Paka Jimmy nimjuavyo mimi ni mpenda maendeleo hasa ya nchi yake na mwenye uwezo mzuri wa kufikiri na aggresive..............
Hayo ya roho mbaya,mnoko,mshari,mchonganishi na mgomvi labda at personal level ambayo kwa maoni yangu,its not neccesaary to discuss here.
Ni mtizamo wangu!!!
 
zis is mai dedikeshen to you.....when a woman loves-ara keli
 
some things are beta said if nothing is said at all,cnt u just make the world beta place for everyone?yanini malumbano?naomba uwe mwerevu na umwambie yy mwenyewe sisi hapa hayatuhusu kabisaaaaaaaaaaaaaa,your real becoming toooo low
mnamtetea kilaza mwenzenu?
 
zis is mai dedikeshen to you.....when a woman loves-ara keli

Hashy Hashy...........that dedication??
I love for real......lol
No bana,PJ nakuwaga nae kule jukwaa la siasa so namfahamu kihapa JF kama hivyo!!!
:plane::plane::plane:
 
Back
Top Bottom