Wachungaji

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Nimesoma habari moja umu ndani nikafurahi hasa pale aliposema ansafisha nyota nakurudisha nyota zilizopotea!!!Mtu wamungu anaongelea nyota zilizopotea???wakati hakutakiwa kujihusisha na imani za nyota??:A S-danger:
Hivi kwanini walokole wengi niwenyeji wa mkoa wakigoma??
|Jibu tafadhaliJe ndiko makanisa haya yalikoanzia??
 
Back
Top Bottom