Shukuru
JF-Expert Member
- Sep 3, 2007
- 748
- 15
Inasadikika kuwa kati ya wachaga 10, 8 wanaitumia simu kama ifuatavyo...
1. Huangalia salio mara kwa mara ili mradi aonekane yupo bize na kimob chake.
2. Kila mara hujisikia hamu ya kupiga sim kwa marafiki zake anaowapenda ila huishia kubip hata kwa namba asizozijua yaani za kujitungia tu.
3. Huangalia salio kila mara anapotaka kubip na hata baada ya kubip huangalia salio tena ili kuwa na uhakika na closing balance kwenye simu yake.
4. Hungalia salio hata baada ya kupigiwa
5. Mara zote huweka dole gumba sehem ya kukatia sim hata kama amepigiwa na hufupisha maelezo na kuwa wa kwanza kuikata simu kama yeye ndio kapiga vile na baada ya hapo kama kawaida huangalia salio tena..

Last edited: