Side mirror makini ikikugonga lazima ijikunje.Kama Hawa boda boda wao wanavurugu Sana mwendo mkali ,misauti ya piki piki mikubwa .
Leo mida ya saa mbili hapa mwanama nimepigwa na side mirror ya gari ,jamaa na kiaist chake kimenifata kabisa upande wa watembea kwa miguu alikuwa speed ,bahati nzuri side mirror Yake mbovu imenigusa kidogo tu imejikunja lkn mauvi yake kama nimepigwa Kofi zito
Sifa mtandaoni na kuendesha vinahusiana vipi?Wanaongoza kutafuta sifa mitandaoni
Jinga Sana hili lijamaaKwamba wachaga peke yao wanakufa kwa ajali??? ACHA UKABILA.
Mtapasuka bure kwa wivu na nyie hamna makwenu?wachagga wana mtindo wa kutaka sifa wanapoenda moshi anajua njiani atampita masawe mbele atamkuta lyimo na wengine wengi sasa akiwapita kwa speedi anajua watamtaja tu haaa jamani mmemuona mushi alivyotupita huyu yupo vizuri basi akisifiwa hivyo kichwa hilo . wachaga kila sehemu hupenda sifa tweeter wamejaa wao tuu kila kona kumsema makufuli
Drive safely. 80kph unafika uendako raha mstarehe kabisa. Hakuna sababu ya kutembea 120-160/170, unawahi nini nyumbani? Magari yetu yamekuwa makaburi yetu, kisa nilitumia saa chache sana kufika homeNdugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabaran mjjandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yalata 8 kwa ajali. Yawafaa nn?
View attachment 2041879
Nina ushawishi wa kusaidia mtu kupata leseni lakini hadi sasa sijasaidia ndugu yangu hata mmoja. Akinifuata namwelekeza chuo cha udereva, aanze na leaner. Wameniita mjerumani kwa kuwaelekeza usahihi wa mambo, wala hata sijali. Maana hata mimi sikujifunzia mtaani, nimesomea chuo mwezi mzimaShida ya leseni kutolewa kiholela
Ulikuwepo eneo la tukio mkuu au ww ndio ulikuwa deleva ,sio ww tu hata mm naelewa side mirror inajikunja Lkn jaribu kuvuta picha side mirror mbovu inakujeSide mirror makini ikikugonga lazima ijikunje.
Ushamba mzigo
Hata wewe hapo hutaishi milele.umeandika kama vile utaish milele
wachagga wana mtindo wa kutaka sifa wanapoenda moshi anajua njiani atampita masawe mbele atamkuta lyimo na wengine wengi sasa akiwapita kwa speedi anajua watamtaja tu haaa jamani mmemuona mushi alivyotupita huyu yupo vizuri basi akisifiwa hivyo kichwa hilo . wachaga kila sehemu hupenda sifa tweeter wamejaa wao tuu kila kona kumsema makufuli
Tena unadrive na K-VANT pembenMwaka mzima unashinda dukani, eti December unataka udrive hadi Moshi.
Now this is hatewachagga wana mtindo wa kutaka sifa wanapoenda moshi anajua njiani atampita masawe mbele atamkuta lyimo na wengine wengi sasa akiwapita kwa speedi anajua watamtaja tu haaa jamani mmemuona mushi alivyotupita huyu yupo vizuri basi akisifiwa hivyo kichwa hilo . wachaga kila sehemu hupenda sifa tweeter wamejaa wao tuu kila kona kumsema makufuli
Kamejawa wivu hadi kanashindwa kuandikaPunguza wivu na makasiriko mkuu
Jifunze hata kuandika kuliko kuendekeza chuki
Ni Twitter sio tweeter
Pathetic!