Kwanini wachaga hawafanani na sifa wanazojipa?

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,117
1,909
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu.

Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii.

Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza.

Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?

Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa.

Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo.

Je hili mnalitambua?

IMG_0228.png
 
wachaga ambao ni madon kweli wengi wao ni wa kimya na wapo na mambo yao na hawana dharau labda uingie kwenye 18 zao,,,shida ni kwa wale kajambanane ndo dharau kibao na maneno mengi ya kejeli ila ukija kucheki maisha yao ni ya kawaida saaana
 
Lakini mjini wao wametelekeza kwanini uko vile vile au wanatambia ya kukataa kwao?
 
Na wewe hamia huko uombe ukabila uwe mchaga au kaolewe huko uzae watoto wenye vinasaba vya kichagga kama unatamani ! !!

Wenzentu wa kaskazini wanajitahidi sana, ukweli usemwe ! Chuki ya nini.? Jitafute na wewe ukijipata jigambe !

Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe!
 
Wachaga ni ma fighter, lazima wapewe sifa zao,achilia mbali hao wakinga sijui waha, hawa jamaa wameelimika kitambo sana 😂, elimu uchagani ilienda mapema sana,

Ma Don wengi wakichaga investments zao zipo mikoani moshi wanaenda kusalimia na kujenga nyumba kwenye maeneo yao,

Kuinuana ndo misingi yao, hata dar wafanyabiashara wengi unaowaona mitaji wamepewa na wachaga wenzao
 
Wachaga madon wapo humble sana nimeishi nao sana...

Ule ukweli wachaga mali nyingi zinaenda kwa trend kama unabisha chunguza sana..Ila kizazi cha sasa nipata competition sana yaani ile Rombo miaka ya nyuma hapakuw na vijana wa hovyo wa kulewa ,ila sasa wamekuwa walevi wamebaki walevi.

Hili ni pigo kwa watanzania na wachaga wote kama walikuwa wakina Mengi na shirima ndio madon pale top 10 kwa watanzania ,washakufa kizazi cha sasa hamna kitu kimebaki sifa tu na ulevi.
..
 
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu

Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii

Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza

Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?

Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa

Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo

Je hili mnalitambua?
Kwa kweli wachagga hawajaendeleza mji wa Moshi kwasababu ya sera mbovu wa mipango miji. Hakuna watu wameweza kuendeleza miji yao sio wanyakyusa, wasukuma, wahaya, wagogo, kwasababu ya mpango mbovu wa serikali. Maendeleo ya Kilimanjaro yanayowafanya wachagga wawe tofauti na wengine tangu miaka ya 1800 yapo kule vijijini; mashule, hospital, maji, barabara, etc. Hadi leo hakuna maeneo ya vijijini East Africa yaliyoendelea na kupendeza kama Kilimanjaro vijijini.

Kingine kwa ninyi msiojua historia. Nyerere alifanya maksudi kabisa ya kuufanya mji wa Moshi na K'Njaro kwa ujumla isiende mbele. Zamani kwa watu wa Moshi ukienda kujenga Arusha ulikuwa unachekwa umekwenda kujenga wapi pa hovyo hivyo!

Nyerere aliwekeza Arusha kimakusudi kwani aliona Moshi kuna maendeleo na watu wake ndio hivyo wamekaa ki-pinzani zaidi tangu akina Mangi Marealle na wengine na akoona hakuna haja ya kuwaendeleza tena watu hawa kwani watakuwa shida kwa taifa. Akapeleka maendeleo Arusha na taratibu Arusha ikakua na kuipiku Moshi. Yapo mengi tu sitaeleza leo.

Lakini wachagga wakawa wajanja kuliko Nyerere; wakahamia mikoa mingine kufuata maendeleo yalipo na wengine wengi sana walihamia Nairobi na Mombasa! Sasa ndio wanafanya maendeleo kwenye miji ya watu na Nyerere na wengine bado hawafurahi sana sijui wanataka watu hawa wahame nchi kabisa au nini?! Ndio waafrika tulivyo tunapenda kila mtu awe maskini ndipo tunajisikia vizuri.
 
Wachaga ni ma fighter, lazima wapewe sifa zao,achilia mbali hao wakinga sijui waha, hawa jamaa wameelimika kitambo sana 😂, elimu uchagani ilienda mapema sana,

Ma Don wengi wakichaga investments zao zipo mikoani moshi wanaenda kusalimia na kujenga nyumba kwenye maeneo yao,

Kuinuana ndo misingi yao, hata dar wafanyabiashara wengi unaowaona mitaji wamepewa na wachaga wenzao
Kilimanjaro imekuwa vacation region zaidi ila mpango unakuja wa kuiweka vizuri zaidi.
 
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu

Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii

Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza

Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?

Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa

Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo

Je hili mnalitambua?
Kina mangi watakuja kujibu..!
 
Kina mangi watakuja kujibu..!
Ila kwangu mimi naona maendeleo ya jamii ya wachaga ni yakawaida tu! Kwa sabau hata ukienda kwenye miji waliyowekeza hakuna maajabu yeyote maana wanavyofanya hata jamii zingine zinafanya pai!

Ila sema wao huwa hawapendi jamii zingine ziwazidi maendeleo watafanya figizu ili waonekane wanamendeleo wao tu!

Mfano ni mitaa ya huku Mwanagati watu wanamajumba hatari lakini ukiangalia wengi ni wa Kanda ya ziwa huko ila huwezi kusikia wanapiga makelele!

Pia kuna miji kama Kahama ina maendeleo kutokana na mchanganiko wa watu wakiongozwa na wenyeji wa mji huo ambao ni Wasukuma(Wadakama) lakini huwezi kuwasikia wenyeji ambao wanashika uchumi wa Kahama wanajisifu kuwa wao ni bor akuliko wageni na wanashirikiana vizuri sana na wenyeji wa hapo!

Utaratbu wa jamii hiii kujimwambafai ni kutokana na ktopenda kuzidiwa kimaendeleo na jamii zingine na chuki juu ya jamii zinazofanya vizuri kwenye maendeleo kama wao!
 
Mosh
Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu

Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii

Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza

Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?

Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa

Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo

Je hili mnalitambua?
Kijijini ndio kuna majumba na maendeleo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom