Halafu, hivi kwanini Wahindi wanapenda sana kutoa toa rushwa? Mimi nafikiri kwasababu ni wezi wa kila kitu, wanahamisha mapato kupeleka nje, na ndio maana wanashikia bango suala la uraia wa nchi 2 au zaidi waruhusiwe ili iwe rahisi kwao kusepa.
Ungeuliza hivi kwa nini viongozi wetu tuliowapa dhamana ya uongozi WANAPENDA SANA KUJIRAHISISHA NA KUPOKEA POKEA rushwa toka kwa wafanyabiashara? Kwa taarifa yako huyo mfanyabiashara ni mtanzania mwenzetu. Wahindi wako India siyo hapa nchini. Kuwa na asili ya india pekee hakumfanyi mtu kuwa mhindi.