Wabunge wazomeaji kuzidi kama katiba mpya itapita

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
Hii ni kutokana na mapendekezo ya tume ya Warioba kupingwa kuhusu elimu ya mbunge walau awe kidato cha nne. Wajumbe waliopo dodoma wanataka awe anajua kusoma na kuandika kweli maajabu hayataisha Tanzania
 
hii ni ajabu na janga la taifa langu Tanzania haiijui yaani huku wizara ya elimu wako kwenye malengo anangalau kila Mtanzania apate elimu ya kidato cha nne huku, kiongonzi tena wa mbunge ajue kusoma tu yatosha mmmmmmmmmmmmmmm lakini maoni ya wananchi waliona kuwa uwelewa kielimu kidogo ni muhimu, kama mtamo wa CCM ndio huo kazi kweli kweli
 
Hii ni kutokana na mapendekezo ya tume ya Warioba kupingwa kuhusu elimu ya mbunge walau awe kidato cha nne. Wajumbe waliopo dodoma wanataka awe anajua kusoma na kuandika kweli maajabu hayataisha Tanzania
Ili wapuuzi waendelee kuliongoza taifa, mikataba mibovu iendelee kupitishwa, tuendele kuletewa shanga tuonge madini!
Magamba bhana...........!
MSALANI MWANADIWANI LIZABONI IFWEERO
 
Ni vice versa wakuu! tangu mwanzo CCM wamekuwa wapinga mambo mema sana hata yale ambayo ni msaada kwao wao wanayapinga na kupambana nayo! refer Horace Kolimba (RIP) aliwaambia wazi kuwa mnapoteza muelekeo Maccm yakafanya yao! so sioni ajabu kwa hilo la kurudishwa kwenye ujima
 
Kweli mkuu inashangaza sana kila jema wao ni kupinga tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom