Maneno ya Profesa Issa Shivji juu ya Katiba Mpya

Mr Lukwaro

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
357
621
Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji mahitaji ya Katiba wakati wewe mwenyewe haujajiandaa kuhoji na hauna ufahamu wa unachokitafuta!

Prof Shivji alitoa mbinu ya maswali kwa Wananchi, kwamba unawauliza maswali kuendana na Maisha yao, mfano kwenye Elimu Mwananchi anaposema Hajui kusoma ama hajui kinachoendelea kwenye Uongozi wa Serikali yao kama vile wanaowachagua, hapo kwenye Katiba utaeleza upatikanaji wa Elimu Nchini.

Unamuuliza Mwananchi unataka Ardhi imilikiwe na nani na iwaje, kila Mtu atakupa maoni yake.

Una hoji kuhusu Haki,… kila kitu unamhoji, mwisho wa siku utajikuta umepata maoni kibao, kisha kazi ya kuandika Katiba ni ya Wataalam wa Katiba kuchambua yale maoni na kuyaweka kitaalam na ndivyo Katiba inavyoandikwa.

Katiba haisomwi kama hadithi na kuielewa hapohapo, inaeleza kifupi zaidi lakini kila kitu Kimo ndani na ndio sababu inaitwa sheria mama, yaani sheria zote zinatungwa zinatoka kwenye Katiba.

Katiba ni maoni ya Wananchi na inaandikwa na Wataalam wa Katiba kwa ufupi Kisheria.

Serikali inapowaambia Wananchi hawaijui Katiba na wanahitaji miaka mitatu ya mafunzo, hiyo ni dharau kubwa sana ya Serikali kwa Wananchi!

Tume ya Jaji Warioba iliainisha hayo ya Elimu na kueleza Elimu ilivyotolewa, hao Serikali wanasema Wananchi hawajui, Je Serikali imesahau kwamba Tume ya Warioba walikwisha kulimaliza hilo?!!

Serikali wanataka Wananchi wote tuingie kusoma digrii ya sheria miaka mitatu ili tujadiliane Katiba?!

Wananchi mnatupa wasiwasi sana wa uwezo wenu mliopewa dhamana ya Madaraka kutuongoza, hayo sio majibu ya kutuambia Leo Mheshimiwa Waziri wa Sheria ni bora ungesema kiufupi tu kwamba Serikali haipo tayari kwa Katiba mpya hadi baada ya miaka mitatu ili tuelewe hivyo kuliko kutupa sababu ambazo hazina msingi na kutengeneza maswali mengi yasiyo muhimu!!

Katiba mpya ya Wananchi ni sasa.

Tanzania ni yetu sote! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€πŸ’ͺ🏾
 
Ile Rasimu ya Warioba ilishawahoji watu wa pande zote mbili, na tangu watu wahojiwe imepita miaka kumi au hata iwe imepita miaka 15 bado maoni yanayofaa kutumiwa ni yale yale kwa sababu katiba huwa haiandikwi kila baada ya miaka kumi kupita kwa kisingizio eti imepitwa na wakati !!

Katiba ya Marekani ina zaidi ya miaka 300 !!
 
Serikali inapowaambia Wananchi hawaijui Katiba na wanahitaji miaka mitatu ya mafunzo, hiyo ni dharau kubwa sana ya Serikali kwa Wananchi!
Tume ya Jaji Warioba iliainisha hayo ya Elimu na kueleza Elimu ilivyotolewa, hao Serikali wanasema Wananchi hawajui, Je Serikali imesahau kwamba Tume ya Warioba walikwisha kulimaliza hilo?!!
Serikali wanataka Wananchi wote tuingie kusoma digrii ya sheria miaka mitatu ili tujadiliane Katiba?!!
Serikali iko very right, Watanzania waelimishwe kwanza kuhusu katiba, ndipo tuje kwenye katiba mpya, na wale sio kusomea sheria miaka mitatu!.

Nimalizie na kile Prof. Shivji alichosema kuhusu katiba mpya Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

Na hapa Prof Shivji na mihadhara ya katiba ITV
P
 
Natamami kulia. Serikali inayodai imewekwa na wananchi madarakani waziri anasema hawajui katiba? Kwani kila miaka mitano ule uchaguzi nikwa Mujibu wa nini? Ni sawa na padri au MCHUNGAJI au shehe aseme waumini wangu hawajui kusali au kuabudu na ni waumini tangu utoto. Kila tunachofanya ni katiba. Kwenda shule,kijenga nyumba,kuuziana vitu.masoko,hospitali,Barbara za juu na chini vyote hivyo na confine ni katiba. Hivyo wananchi wakitoa maoni yao namana wanavyotaka waishi ndo katiba kuandika katiba ndo utaalami
 
Ni dharau kubwa sn kwa wananchi
 
Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji mahitaji ya Katiba wakati wewe mwenyewe haujajiandaa kuhoji na hauna ufahamu wa unachokitafuta!

Prof Shivji alitoa mbinu ya maswali kwa Wananchi, kwamba unawauliza maswali kuendana na Maisha yao, mfano kwenye Elimu Mwananchi anaposema Hajui kusoma ama hajui kinachoendelea kwenye Uongozi wa Serikali yao kama vile wanaowachagua, hapo kwenye Katiba utaeleza upatikanaji wa Elimu Nchini.
Unamuuliza Mwananchi unataka Ardhi imilikiwe na nani na iwaje, kila Mtu atakupa maoni yake.
Una hoji kuhusu Haki,… kila kitu unamhoji, mwisho wa siku utajikuta umepata maoni kibao, kisha kazi ya kuandika Katiba ni ya Wataalam wa Katiba kuchambua yale maoni na kuyaweka kitaalam na ndivyo Katiba inavyoandikwa.

Katiba haisomwi kama hadithi na kuielewa hapohapo, inaeleza kifupi zaidi lakini kila kitu Kimo ndani na ndio sababu inaitwa sheria mama, yaani sheria zote zinatungwa zinatoka kwenye Katiba.

Katiba ni maoni ya Wananchi na inaandikwa na Wataalam wa Katiba kwa ufupi Kisheria.

Serikali inapowaambia Wananchi hawaijui Katiba na wanahitaji miaka mitatu ya mafunzo, hiyo ni dharau kubwa sana ya Serikali kwa Wananchi!
Tume ya Jaji Warioba iliainisha hayo ya Elimu na kueleza Elimu ilivyotolewa, hao Serikali wanasema Wananchi hawajui, Je Serikali imesahau kwamba Tume ya Warioba walikwisha kulimaliza hilo?!!
Serikali wanataka Wananchi wote tuingie kusoma digrii ya sheria miaka mitatu ili tujadiliane Katiba?!!

Wananchi mnatupa wasiwasi sana wa uwezo wenu mliopewa dhamana ya Madaraka kutuongoza, hayo sio majibu ya kutuambia Leo Mheshimiwa Waziri wa Sheria ni bora ungesema kiufupi tu kwamba Serikali haipo tayari kwa Katiba mpya hadi baada ya miaka mitatu ili tuelewe hivyo kuliko kutupa sababu ambazo hazina msingi na kutengeneza maswali mengi yasiyo muhimu!!

Katiba mpya ya Wananchi ni sasa.

Tanzania ni yetu sote! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€πŸ’ͺ🏾
Hawa watawala wezi ni kuwaondoa kwa nguvu, hivi hivi hawatoki!

ALL IN ALL THAT WAS BAD, NISINGELIWAFANYIA HIVI, NINGELIWAONDOA NCHINI..EXILE

Cabinet ministers lined up for execution after a coup d'Γ©tat in Liberia, 1980​

A Liberian army soldier stands ready to execute a former cabinet minister following the 1980 coup. The minister in the photo: Cecil Dennis.
 
Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji mahitaji ya Katiba wakati wewe mwenyewe haujajiandaa kuhoji na hauna ufahamu wa unachokitafuta!

Prof Shivji alitoa mbinu ya maswali kwa Wananchi, kwamba unawauliza maswali kuendana na Maisha yao, mfano kwenye Elimu Mwananchi anaposema Hajui kusoma ama hajui kinachoendelea kwenye Uongozi wa Serikali yao kama vile wanaowachagua, hapo kwenye Katiba utaeleza upatikanaji wa Elimu Nchini.
Unamuuliza Mwananchi unataka Ardhi imilikiwe na nani na iwaje, kila Mtu atakupa maoni yake.
Una hoji kuhusu Haki,… kila kitu unamhoji, mwisho wa siku utajikuta umepata maoni kibao, kisha kazi ya kuandika Katiba ni ya Wataalam wa Katiba kuchambua yale maoni na kuyaweka kitaalam na ndivyo Katiba inavyoandikwa.

Katiba haisomwi kama hadithi na kuielewa hapohapo, inaeleza kifupi zaidi lakini kila kitu Kimo ndani na ndio sababu inaitwa sheria mama, yaani sheria zote zinatungwa zinatoka kwenye Katiba.

Katiba ni maoni ya Wananchi na inaandikwa na Wataalam wa Katiba kwa ufupi Kisheria.

Serikali inapowaambia Wananchi hawaijui Katiba na wanahitaji miaka mitatu ya mafunzo, hiyo ni dharau kubwa sana ya Serikali kwa Wananchi!
Tume ya Jaji Warioba iliainisha hayo ya Elimu na kueleza Elimu ilivyotolewa, hao Serikali wanasema Wananchi hawajui, Je Serikali imesahau kwamba Tume ya Warioba walikwisha kulimaliza hilo?!!
Serikali wanataka Wananchi wote tuingie kusoma digrii ya sheria miaka mitatu ili tujadiliane Katiba?!!

Wananchi mnatupa wasiwasi sana wa uwezo wenu mliopewa dhamana ya Madaraka kutuongoza, hayo sio majibu ya kutuambia Leo Mheshimiwa Waziri wa Sheria ni bora ungesema kiufupi tu kwamba Serikali haipo tayari kwa Katiba mpya hadi baada ya miaka mitatu ili tuelewe hivyo kuliko kutupa sababu ambazo hazina msingi na kutengeneza maswali mengi yasiyo muhimu!!

Katiba mpya ya Wananchi ni sasa.

Tanzania ni yetu sote! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€πŸ’ͺ🏾
Awali nilisikia mchakato wa katiba mpya ungeanza mwezi Septemba, 2023. Jee msimamo huo sasa umebadilika?
 
Serikali iko very right, Watanzania waelimishwe kwanza kuhusu katiba, ndipo tuje kwenye katiba mpya, na wale sio kusomea sheria miaka mitatu!.

Nimalizie na kile Prof. Shivji alichosema kuhusu katiba mpya Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

Na hapa Prof Shivji na mihadhara ya katiba ITV
P

Kwa hiyo Kuna wakati Shivji ana maana na wakati mwingine hana maana? Hivi Paschal wewe ni huyu nayekujua kweli ndugu au kuna mtu anatumia jina lako? I know u tofuati sana na humu ndani.
 
Ndumbaro na matapeli wenzake wana waza uchaguzi 2025 wala siyo katiba
Hata akipita 2025 na yule atakaye kuja 2030 naye ataogopa kwamba ataukosa URAIS kama katiba itaandikwa nyingine mpya πŸ˜…πŸ˜…πŸ™
Kwahiyo kila atakaye kuwepo madarakani atakuwa anaahirisha mchakato huo wa Katiba mpya. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜±
Till when ? God knows !
 
Serikali iko very right, Watanzania waelimishwe kwanza kuhusu katiba, ndipo tuje kwenye katiba mpya, na wale sio kusomea sheria miaka mitatu!.

Nimalizie na kile Prof. Shivji alichosema kuhusu katiba mpya Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba
!!
Wewe na wenzio lengo lako ni kuenenda sawa sawa na nani kama mama! "katiba mpya baada ya 2025".
Kwanini wasomi wetu mmegeuka machawa wa ajabu hivi? Hapa Kenya walichelewesha hivi wakaja kuzinduliwa na mauaji ya 2007 na kuishia kuwa na wakimbizi wa ndani IDPs. Hili ndilo mnataka? tutalipata kwa hali ninavyoiona! hasa wizi wa kura uliopangwa 2024 & 2025 ni bomu litakalolipuka. Wakenya walichoka kiasi kwamba waliwaamini viongozi wa upinzani kupita kiasi. Mf. Tuliwahi kuwauliza wananchi wa kenya kwa nini mnaipenda katiba mpya wakajibu "ni nzuri kwa vile Raila ameshatusomea amesema ni nzuri"
Tusifike huko elimu ya uraia ni endelevu |Wapeni wananchi haki yao ya kisheria itakayolinda haki zao. Sasa hivi akina Mwabukusi (mwanasheria mwenzio) wametekwa kama kuku labda watauawa. Saidia watu wapate haki yao( i.e Katiba mpya.)
 
Serikali iko very right, Watanzania waelimishwe kwanza kuhusu katiba, ndipo tuje kwenye katiba mpya, na wale sio kusomea sheria miaka mitatu!.

Nimalizie na kile Prof. Shivji alichosema kuhusu katiba mpya Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

Na hapa Prof Shivji na mihadhara ya katiba ITV
P
Kuna wakati najiuliza kama kweli unajua na hata kuelewa kile unachoandika/unachoongea au ni mbwembwe zako tu. Ni elimu gani hasa unataka wananchi wapewe kuhusu Katiba mpya? Mbona unawatukana Watanzania/Watanganyika?
 
Serikali iko very right, Watanzania waelimishwe kwanza kuhusu katiba, ndipo tuje kwenye katiba mpya, na wale sio kusomea sheria miaka mitatu!.

Nimalizie na kile Prof. Shivji alichosema kuhusu katiba mpya Prof. Shivji aukosoa Mchakato wa Katiba Mpya, aliponda Bunge la Katiba

Na hapa Prof Shivji na mihadhara ya katiba ITV
P
Huwa una akili kamasi puuzi kabisa... Yaani watu walipwe kutoa elimu ya katiba... Kilichofanyika na tume ya Warioba ilikuwa sio elimu? Takataka kabisa.
 
Hata akipita 2025 na yule atakaye kuja 2030 naye ataogopa kwamba ataukosa URAIS kama katiba itaandikwa nyingine mpya πŸ˜…πŸ˜…πŸ™
Kwahiyo kila atakaye kuwepo madarakani atakuwa anaahirisha mchakato huo wa Katiba mpya. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜±
Till when ? God knows !
Tuwalazimishe hawa mafisadi
 
Back
Top Bottom