Single D
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 457
- 14
Nyumba haiwezi kusimama yenyewe bila Msingi na nguzo za kuishikilia.
TANESCO bado imeshikiliwa serikalini na kuna watu wana maslahi humo,kwa hiyo menejimenti yenyewe haiwezi kufurukuta na kusema tunataka tufanya hiki na kile na kupingana na serikali.Wako chini mwamvuli wa serikali na kuna bodi ya wakurugenzi walioteuliwa na serikali kuiendesha.Watasema hili na lile lakini chimbuko kuu la uozo wote ni serikali na mikataba mibovu
Ndo maana Wenyeviti wa bodi wapo kulinda maslahi ya kifisadi ya sirikali.Siyo kwamba hawa TANESCO hawajui kwamba watu wanalalamika kucheleweshewa kuunganisha umeme,la hasha.Kwa sababu ya mfumo mbovu wa kupeana vijisenti kutoka juu kileleni(wizarani) hadi shinani kwenye menejimenti.Watu wapo kwa maslahi yao na pia kulinda maslahi ya mafisadi kadhaa.
Hakuna asiyejua huko serikalini kwamba ukitaka umeme leo wa rushwa tena unapata baada ya siku mbili na luku ikiwa imesajiliwa kabisa katika kituo cha manunuzi.(Luku VENDING STATIONS).Pia taasisi nyingi za serikali hawalipi umeme?
Tulikuwa kwenye sherehe fulani za Taifa Mikoa ya kusini,lilitoka tamko tu iletwe pale mita na ukaunganishwa umeme katika banda ukautumika,je huo analipa nani?
Mimi namuunga mkono msemaji mmoja(MADELA WA ....),NO MORE COMEDIANS IN PARLIAMENT.CAST YOUR BALLOT PERFECTLY.
Kwa nini tuwape kula watu ambao hawatusaidiii??????????????/