Wabunge wa upinzani waonywa

Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

hata kama unauchukia upinzani hasa Chama cha CHADEMA basi uwe unafikirisha akili yako kabla haujaandika trash post kama hii
 
I thought ni habari kumbe ww ndo unawaonya daaaa...........any way walau tumesoma uende ilikuwa ndo target
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

Unafikiri kwa kutumia sehemu ye Meya wa Dar.
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.
Mkuu naona mwezi wa Ramadhani umefika kwahiyo lazima utaleta thread kwa wingi kuongeza kipato toka kwa Nape
 
Nao wakiondoka hua wanaenda kufanya kama yuleeee alyefumaniwa mkuu?..Bunge lenyewe maadamu maiki sijui ni kichaa..
 
Back
Top Bottom