Wabunge wa upinzani waonywa

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.
 
Kova at work!
 
taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

hawa ndo ccm wenye akili timamu nao!
 
Another silly & fabricated post from mdhaifu who's workin for dhaifu government.. led by a dhaifu president..
 
spika dhaifu, rais dhaifu, ccm dhaifu kazi yao kutumia polisi kudhibiti wapinzani wanapozidiwa hoja na kukimbilia mahakamani
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

wapigakuwa wa familia yako labda
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.
Na wewe ninakuonya, hili suala liko mahakamani.
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

Kiongozi, mbona unaniangusha na hoja za kipropaganda kama hizi? Na ni wapinzani gani unaoongelea au nyie ADC ni chama tawala?
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

Huwa inaniumiza sana ninapoona mtu mzima anaongea pumba kama hizi. Natamani nimrudishe chuo kikuu cha kiislamu morogoro. Maana najua lazima atakuwa amesoma huko.
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.
umemaliza?Ndio aliyo kuagiza Nape leo uyaseme humu jf.
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

***** tu huu sioni mantiki hapa. Hoja ipi waliwahi kuzidiwa au ndo zile kelele za debe tupu?

Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.

Hata ukiwa kwenye maombolezo huachi udaku tu... Hadi sasa hivi mshaokota maiti ngapi? Je, mtawaziki kihalaiki au? Je, ZMA inajua meli ngapi hazifai kubeba abilia? Je, UHAMSHO watashiriki mazishi? Shwaini mkubwa wewe....
 
Taarifa za kibunge zinaonyesha kuwa pamoja na tabia yao ya kukimbia bungeni mara kwa mara pindi wanapozidiwa hoja, wabunge wa chadema wameendelea kuchukua posho za siku husika. Watu wengi hususani wapiga kura na wapenda maendeleo wameonya kuwa jambo hili halitavumiliwa.
mheshimiwa tupo kwenye msiba na wengine bado tunawatafuta ndugu zetu ktk ajali ya meli iliyozama ww unaleta mambo ya CCM na upinzani.naomba jifikirie kwanza kabla ya kuibuka na kuandika tu kwani unachoambulia ndiyo chanzo cha matatizo kwa watanzania wengi
 
Back
Top Bottom