superfisadi
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 553
- 52
mimi nilikuwa kwenye kikao jamani nijuzeni hiyo mv ilivyoanza spika alichimba mkwala gani na nani alikuwa wa kwanza kunyanyuka kutoka nje
Political Immaturity.
Wabunge wa CHADEMA wamethibitisha ujinga mkubwa walio nao. Haiwasaidii na wala haitasaidia CHADEMA. The publc is against them and CHADEMA. Tanzania bila CHADEMA inawezekana sana tena sana mara elfu.
Sikio la kufa.......?
Tumejitahidi saana kuwaeleza viongozi wetu kuwa hii ita - backfire lakini hawasikii.
Hiyo ni njia sahihi kabisa ya kufikisha ujumbe, na:bowl:wale wanaowaita wajinga nadhani kinachowasumbua ni mawazo mgando
Ujinga unao wewe, who is you mpk unamuita Lisu,Mbowe,Mnyika,Zitto, etc, wajinga? Wamechaguliwa na wasomi watupu sasa sie wasomi tunachagua wajinga wenzetu au?Tena naomba utukome maana they are doing that on behalf of Tanzanians and not on behalf of Mafisadi. That is what we expected from them and make yourself ready for the next difficult situations to that mama(spika).
Madhara yatakayotokea ni kwamba, nchi inaweza ikawa na mfarakano mkubwa.
jamani wadau wa jf tunaomba maoni juu ya madhara ya chadema kususia hotuba ya rais.
mimi kwa mtizamo wangu nawapongeza kitendo cha kishujaa kilichoingizwa ktk historia lkn hapa kijiweni kuna mjadala mkali eti utakuwa na madhara kwa wananchi nini mtizamo wa wadau?.
Me ndo naitaka hii ili wazidi kujimaliza naufisadi wao!Madhara mengine ni kwamba hawa majmbazi ccm watakuwa wanalazimisha kisasi na kuongeza ufisadi zaidi.