Wabunge wa CHADEMA tuachane na Bunge tuungane Arusha

Lema alienda kwa mapenz yake huko jela sisi 2napiga kelele za nini?alijiona anahatia ndiyo maana akajipeleka mwenyewe,kila siku wana wa maandamano mnasisitiza sheria zifuatwe,halaf nyie ndio wa kwanza kupindisha,halaf mbunge anawakilisha wananch wa jimbo lake wakitoka wote kero za wananch wa majimboni mwao zitawakilishwa na nani?.
hivi wabunge wa ccm wanawakilisha kweli wananchi au wapo wapo tu bungeni kulinda masilahi ya chama chao??
Mbunge mmoja wa CDM=Wabunge 20 wa CCM
 
hivi wabunge wa ccm wanawakilisha kweli wananchi au wapo wapo tu bungeni kulinda masilahi ya chama chao??
Mbunge mmoja wa CDM=Wabunge 20 wa CCM
Wapo kwa ajili ya matumbo ya familia zao lakini siyo kwa ajili ya mwananchi wakawaida!!Nazaidi ni kuhitaji mashangingi na uheshimiwa nawaona bungeni nikucheka na kulala!!basi baadae wakunje posho hao kwenye mnada wa nayama choma!!
 
Naunga hoja yako ,ni vizuri mh Mnyika na wenzake waendeleze hoja zao bungeni.
Inabidi wa sacrifice posho na mambo yote kwani bila ku surcrifice ukombozi hauwezi kuja na haitakuwa na busara kama Kiongozi wa upinzani bunge hayupo lakini wapinzani bado mmekaa bungeni inamaana mmewasusia mwenyekiti,katibu mkuu,Lema,na wana Arusha??hii vita ni ya CHADEMA na SERIKALI kwani serikali inawafanyia wapinza kwakujua kuwa bila yakufanya hivyo upinzani ukikua utakuwa tishio kwa ccm na ccm hawa potayari kuona nchi hii inawaponyoka!!!Hivyo wabunge achaneni na masrahi binafsi!!Tu ungane Arusha.
 
Lema alienda kwa mapenz yake huko jela sisi 2napiga kelele za nini?alijiona anahatia ndiyo maana akajipeleka mwenyewe,kila siku wana wa maandamano mnasisitiza sheria zifuatwe,halaf nyie ndio wa kwanza kupindisha,halaf mbunge anawakilisha wananch wa jimbo lake wakitoka wote kero za wananch wa majimboni mwao zitawakilishwa na nani?.

mbona hata hao wanaowakilisha hizo kero huko bungeni hatujawahi kuona kero zinapungua au kuisha!!!! tusijidanganye sio kweli kuwa wabunge huwaga wanaenda kuwakilisha kero zetu bali wanaenda kazini kwao ili watoto na wake zao waishi!!!!!! watu wanauawa huko geita, nyamongo, dodoma, nzega kwa sababu ya dhahabu yao halafu wewe unasema eti wabunge wanaenda kuwakilisha kero zetu!! ni kero gani tuliyonayo watz ambayo imetatuliwa!!! je ni DOWANS, RICHMOND, EPA, MEREMEPA, KAGODA, UDA, IPTL, UMEME, MATIBABU, MAJI, UMEYA WA ARUSHA, BOAD YA MIKOPO, POSHO KUBWA ZA WATUMISHI NA HASA WABUNGE, SAFARI ZA VIONGOZI MAJUU, DAWA MAHOSPITALINI, WANAWAKE WAJAWAZITO KUFA WAKATI WA KUJIFUNGUA, KUTUMIA BAJAJI KUBEBEA WAGONJWA............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! NI KERO GANI ILIYOTATULIWAAAA!!!!!!!!!!!!!!! YOU MUST BE NONSENCE THEN!!!!!!!
 
Hata wavuvi wakiambiwa kutumia mabomu ni kosa watasema wanaonewa.Wanaotamani kuvuruga amani wanauwezo wa kuruka na ndege wakaenda zao majuu kusubiri utulivu.Je, mwanakijiji atarukaje.Tuache ushabiki tuwe wawazi kwa faida ya vizazi vijavyo.Kama unapenda vita nenda somalia then you will be back to our lovely country.KILA SIKU TUNALIA "HAKUNA ALIE JUU YA SHERIA" lakini tunaenda kinyume.Naomba sheria ichukue nafasi yake.
 
Wewe niwalewale niliowa sema tangu enzi fatilia hii link hivyo mda na wewe sina!!
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/190572-new-members-nimapandikizi.html
 
Back
Top Bottom