Wabunge wa ccm wajijutia.

Sijui January Makamba anajiskiaje saizi
anafikiria kunyoa kipara
tu...nimeamini akili ni nywele.....ukinyoa kipara kichwa kinakuwa kama kota hivo hata kufikiri
unakuwa kama unatumia makota
 
Mimi naamini ni propaganda tu za JK lakini lazima mkwara ulitembea
Naam! JK alicheki wananchi walivyommaind ndo akaamua kuua soo! Kama angekuwa serious basi wale jamaa wasingekuwa mawaziri hadi muda huu ninapoandika!!! He is not serious at all!!!
 
Back
Top Bottom