Wabunge Kupimwa Akili - Nani Awe wa Kwanza Kupimwa Akili?

Waende kwa Batch,
Batch ya Kwanza la wabunge kumi
1. Samwel Sitta
2. Nimrod Mkono
3. Lusinde
4. Mwakyembe
5. Wasira
6. Wenje
7. Mwiguru
8. Bi Kiroboto
9. Shibuda na
10. Malima
 
Wana JF,

Me nawapa hiyo mmoja kila mwanadamu yoyote yule ana kichaa chake.

Sasa hiyo kumpima mtu mwataka kujua nini wakati jibu ni hilo hapo juu, wakati kila binadamu kichaa chake huamka kinavyo tegemea period kwa hiyo wote tu navichaaa hilo liko wazi.

kwenye ukoo wenu.,.
 
Back
Top Bottom