Wabunge Kupimwa Akili - Nani Awe wa Kwanza Kupimwa Akili?

1. Mh. Lusinde ..Huyu ndiye mtoa hoja pengine anatatizo hili
2. Mwenyekiti wa bunge kikao cha siku hiyo ya hoja....Mwenyekiti anakubi hoja ile nadhani anaafiki
3. Wabunge wote wa CCM because Mh. Lusinde anatoka CCM

CDM wote hawahitaji kupimwa kwa sababu wao wanaonekana wanaongea lugha ya wanatanzania walio wengi,,,wanyonge... hivyo kama wanahitaji kupimwa basi list nyingine ya ni wantanzania wote.

nakwambia chizi hajijui kama ni chizi na zaidi hushangazwa na yale wayayofanya wenye akili timamu, kwa hiyo lusinde na pengine magamba wote ni chizi nambari wani anashangaa yale wanayofanya wazima (cdm).

Wana JF,

Me nawapa hiyo mmoja kila mwanadamu yoyote yule ana kichaa chake.

Sasa hiyo kumpima mtu mwataka kujua nini wakati jibu ni hilo hapo juu, wakati kila binadamu kichaa chake huamka kinavyo tegemea period kwa hiyo wote tu navichaaa hilo liko wazi.

kati ya Lema na Wenje hawa ndio watafika fainali na mh Lema ataibuka mshindi wa kwanza maana huu ni mtambo kweli, wabunge wa cuf hawaitajiki kupimwa maana hawa wana busara kweli.

kati ya Lema na Wenje hawa ndio watafika fainali na mh Lema ataibuka mshindi wa kwanza maana huu ni mtambo kweli, wabunge wa cuf hawaitajiki kupimwa maana hawa wana busara kweli.
swali dogo kwako....tafadhali jibu kwa hoja
naomba sababu za Lema kupimwa akili!!

Mkuu Ndallo,

tatizo ukiwa mpigania haki lazima utaonekana mvutaji wa bangi kwa wale wenye mringo mwingine wa maslahi.

kumbuka kuwa Arusha ndiyo itakayokuwa mwanzo mwema wa nchi hii kupata ukombozi wa kweli. namba mbili tarime

yamwisho Dar-es- salaam

waTz wengi hushindwa kujibu maswali kwa usahihi kwasabu hawaelewi maswali wanayoulizwa na hukurupuka kuyajibu. Sasa mkuu wa kaya ni mbunge? Wewe pia unajiita great thinker? Mmh!

hahahaha gret sinker mwenzangu hatimaye umemuwai. . .

ha ha ha! Unazunguka ili kutetea utumbo wako! Ishu ni moja tu hapa sababu ya kutolewa hiyo statement wabunge wapimwe akili ni nini? Bila shaka ni comedy inayoendelea mjengoni sasa rais anaingiaje hapo?

Kwa vile rais ni sehemu ya bunge anatakiwa awe wa kwanza kupimwa akili kwani yeye ndo kichwa cha nchi ukizingatia amejirundikia madaraka mengi sana

nadhani aanze yeye aliye-suggest ili tuone kama yupo sawa upstairs then spika,naibu spika....yani twende ngaz kwa ngaz......pia napenda kutoa wazo kuwa bunge halina budi kufanyiwa usafi wa hali ya juu ili kutoa wimbi kubwa la tsetse flies a.k.a mbung'o wanaosadkiwa kuingia...(utani tu....cz wabunge wanalala too much....)

Wabunge wa chadema ndio wapimwe akili ili tujue u-jinias walionao unatokana na nini.

Mbunge mmoja wa chadema> wabunge wote wa magamba +m/kiti wao + wapiga kura wao.

Na huwezi kuwapima akili wabunge wa magamba kwani hazipo, ni sawa na kuhesabu miguu ya nyoka.

Hivi kuna kile kipindi pale bungeni lilitokea jambo fulani lakutatanisha ulimwagwa unga fulani kwenye viti vya waheshimiwa na hakupatikana aliyemwaga unga ule ambao ulihusishwa na imani za kishirikina! Isije kuwa ndio swala hili tunalolijadili hapa watu kupimwa akili???...!

Wabunge wa chadema ndio wapimwe akili ili tujue u-jinias walionao unatokana na nini.

Mbunge mmoja wa chadema> wabunge wote wa magamba +m/kiti wao + wapiga kura wao.

Na huwezi kuwapima akili wabunge wa magamba kwani hazipo, ni sawa na kuhesabu miguu ya nyoka.
You have nailed it sawia mkuu!

Ila jamani kweli Lusinde anadaluili zote za ukichaa!
Angalia hapa..
Aliwahi kusema gari ndogo inaitwa mtoto wa gari! Na eti bomba la moshi wa gari ni uume wa gari! Aliongea haya bila soni bungeni, mzima huyu?

Wakuu habari za weekend? wakati najiaandaa kwenda bafuni kuoga na kwenda kazini kutafuta riziki, katika kusikiliza redio moja maarufu katika kipindi cha nipashe nimesikia wakimnukuu mbunge mmoja akiwa anawasilisha hoja na mapendekezo kua anataka wabunge wote wapimwe akili! sasa cha kunishangaza kati ya wabunge hao hata muheshimiwa spika naye si mbunge? naomba kuwasilisha hoja hii na swali la papo kwa papo je ni mbunge gani awe wa kwanza apimwe akili kati ya wabunge wote akiwapo na spika mwenyewe? Nawasilisha na weekend njema wote.

Then yule mama mwenyekiti jenista mhagama alichekacheka sanaana baada ya kutolewa kauli hii alikuwa kama mwehu kabisa!
Anawashwa nini yule hivi kaolewa?

sio wabunge tu hata sector zingine kama polisi, upelelezi mahakama, maana maamuzi wanayotoa ni aibu na kinyume za taaluma zao

Nadhani wabunge wote akianziwa mhe.Johnson mnyika,then wabunge wote wa Chadema wapimwe akili,maana bongo zao ni strong kiajabu,then afuatiwe Shibuda alafu wabunge wote wa ccm ISIPOKUWA Lusinde!
Huyu asipimwe akili,kwan anajulikana kuwa ni CHIZI tayari!
Naomba kuwasilisha!

Wabunge wa chadema ndio wapimwe akili ili tujue u-jinias walionao unatokana na nini.

Mbunge mmoja wa chadema> wabunge wote wa magamba +m/kiti wao + wapiga kura wao.

Na huwezi kuwapima akili wabunge wa magamba kwani hazipo, ni sawa na kuhesabu miguu ya nyoka.

Uko sahihi mkuu nimeipenda sana hiyo

Back
Top Bottom