Mkuu, inaelekea kama wewe humfahamu kinara wa uongo nchi hii. Pinda hawezi kufikia hata robo ya uwezo wa JK kusema uongo, kumbuka wakati wa kampeni 2010 aliongopa mangapi majukwaani?sawa na iwe hivyo ila naye asiwe muongo kama pinda.
Itakuwa na tofauti gani hotuba zake za kawaida Mkuu, si ni kama siku zote tu anapohutubia bunge tu??
Ninachoaamini ni kuwa kila swali litapata blah blah zake...... "tumejipanga, tuko mbioni, pia tumeliona hilo, mchakato naendelea kwenye ofisi yangu, nimeongea na waziri juzi.... blah blah blah"