Wababa wanaotembea na mabinti zao...!

FL1, hivi vitu vipo na msibishe....

Kuna jamaa wawili nawafahamu, prominent people, watulivu sana ukiwaona kwa nje, lakini wanatembea na binti zao... mmoja wa hawa amezaa na binti yake... so msibishe... ni ugonjwa

Hivi inakuaje mpaka unamtamani mwanao..tamaa za mali za harakaharaka zinatupelekea shimoni...
 
Maugonjwa mengine sasa sijui hata yanahitaji tiba gani. sipati picha sleeping with dad! sijui tutakuwa tunaongea nini "on bed"
 
Mimi hizi habari hadi leo hii huwa nasikia tu na kusoma kwenye hadithi za kina Shigongo. Hakuna hata mtu mmoja ninayemfahamu anafanya vitendo hivi......kwa hiyo nadhani ni udaku zaidi kuliko hali halisi.................Nawakilisha
 
Kibaya zaidi sasa hivi kuna tabia mbaya zaidi - baba na watoto wa kiume! Ipo case moja ya uhakika- baba alimzoesha mwanae wa kiume toka akiwa mdogo sana na hata alipokuwa na kuwa na akili, alimwambia kuwa " baba na watoto wa kiume huwa na special secrets ambazo mama na mtu mwingine hapaswi kujua.Kadhalika mama na mabinti nao huwa na siri vile vile" -na baba alimpenda sana mwanawe huyu na kuwa na mazoea ya kumpa zawadi za gharama kubwa sana.Mtoto wa kiume akawa amemwamini baba kuwa ndivyo ilivyo hadi siku baba kasafiri na mtoto hataki kwenda shule kisa anam miss baba! Alipodadisiwa zaidi akasema ana miss special secrets na baba yake!... anyway dunia imeharibika sana, ukiongea na watu wenye kufanya counselling utasikia maajabu zaidi ya haya.
 
Hivi inakuaje mpaka unamtamani mwanao..tamaa za mali za harakaharaka zinatupelekea shimoni...
ndg iza inaweza kuwa ni joke lakini niliwahi kumuuliza jamaa akajibu akasema dawa ni ndogo-if you are very hand some don't get married to a very beautiful laddy(miss Tz standard) and vice versa. Ambao hamjaoa you loose nothing kwenye hili -AU?:embarrassed1:
K
 
Mimi hizi habari hadi leo hii huwa nasikia tu na kusoma kwenye hadithi za kina Shigongo. Hakuna hata mtu mmoja ninayemfahamu anafanya vitendo hivi......kwa hiyo nadhani ni udaku zaidi kuliko hali halisi.................Nawakilisha

:confused2: Well endelea kuzisikia kwenye hadithi za shigongo na pia endelea kudhani kuwa in udaku siku ukikutana na hali hiyo utaacha kudhani ni udaku ama kufikiri kuwa watu wanafanya fabrication of stories au kuexaggerate mambo.
 
Hii kitu ipo kabisa.. Nimeshuhudia Mama mzazi wa binti akiwafumania Mume wake na binti yao ktk hotel fulani jijini Dar. Na kisa ni kuwa, siku moja binti alimkuta baba yake akiwa na mwanamke mwingine na alimwambia huyo mwanamke ambaye ni rafiki wa familia hiyo, ya kuwa atamweleza Mama yake mambo wanayoyafanya. Baba alivyosikia hivyo, siku moja akamfata binti yake akiwa chuoni, na kumkaribisha hoteli aliyofikia akamlewesha kwa mvinyo na kumuingilia, yule baba akaondoka na kumwacha binti akiwa amelala.. Asubuhi binti alivyojijua kuwa hali hiyo imetokea, alitaka kumweleza Mama yake lakini akaona ni ngumu, Alipomaliza chuo na kurudi nyumbani, siku nyingine Baba yake akamtokea akiwa hana nguo na alipotaka kupiga kelele, baba yake akamwambia, mbona tulishafanya siku ile, Ujue mambo ya wakubwa hutakiwi kuyaingilia, Binti akanza kulia, Baba akambembeleza na hatimae kumuingilia tena.. Ikawa mazoea mpaka Mama aliposhtuka na kupanga kuwakamata live. Its a real story na ilitokea kama miaka miwili iliyopita.

Mungu epushia mbali uchafu huu...
 
kuna binti udsm niliambiwa anatembea na babake
mbaya zaidi wanasema mzee anaugua ukimwi na binti
anaweweseka..........

nilishindwa pata picha............

Mkuu hii ni tofauti na hii ya member Safari_ni_Safari hapa chini?

Binti alishakufa...mama naye kafa....Baba kwa sasa yuko keko ana kesi ya mambo ya maghorofa fulani ya umma....ila inadaiwa serikali imemtuliza kutokana na mradi wake wa kueneza ukimwi kwa makusudi kwa mabinti zetu wenye kiherehere na magari ya rangi maroon aliyokuwa anawapa

Nafikiri the boss anazungumzia wakati huu. Huyo aliyetulizwa miaka miwili binti yake alishakufa kitambo sana na amezikwa pale makaburi ya commonwealth Kinondoni (nafikiri alifariki 2006 au 2007). Ila ni kweli inasemekana anayetumikia maadili alitembea na bintiye. Ushetani huu.
 
sasa imagine mtu yupo sebureni na kabinti kake na vibinti vya siku hizi vinavyokuwa vizuri, alafu kakupigia kimini na ka G-string kanaonekana kw auchokozi, alafu wanaangalia tamthilia iliyojaa mapenzi mwanzo mwisho, alafu hapohapo mtu na babake wanashare story ya hiyo tamthiliya,, " ahaa huyu ni bboy friend wake lakini kachukuliwa na yule" na baba anacomment vizuri tu we unafikiri mwisho wa siku itakuwaje? na ukumbuke binadamu ni mnyama tu
 
binafsi huwa najiuliza is it possible?
au watu wanazusha???????

Mkuu kunamtu Uingereza alikula tunda la mti wake kwa kuwa hakutaka wengine walifaidi, kuna mtu Austria anaitwa Fritz aliushangaza ulimwengu kwa kitendo hicho hicho, hapa Tanzania kuna dada yetu mmoja alikuwa maarufu sana wakati wa uhai wake, naye alikuwa anampa tunda baba yake. So if your question is, It is possible? the answer is yes it possibe, it is happening in this god damn world, in this God damned Country, in the this damned city..

Is it good? is incest good? May be no, at least to humans and humans who behave like humans. May be not to humans who behave like animals. Ndio mambo ya kisasa haya, so they say you can behave like animal if you want, waache waamue wenyewe.
 
Hivi inakuaje mpaka unamtamani mwanao..tamaa za mali za harakaharaka zinatupelekea shimoni...

Sijui kama ni tamaa au ni nini... kwa sababu huyo mmoja yeye anamwanzishia mtoto hiyo tabia tangu akiwa mdogo, say 2-3yrs, anamchezea chezea then anavoendelea kukua anafanya kweli.

Maugonjwa mengine sasa sijui hata yanahitaji tiba gani. sipati picha sleeping with dad! sijui tutakuwa tunaongea nini "on bed"

Wanahitaji maombi
 
Nawahakikishia kuwa wapo, nimeshawaona kwa macho, kusoma kwenye magazeti watu wakitoa shuhuda na mara ya mwisho kusikia habari hizi ni kutoka redio wapo kama miezi miwili iliyopita ambapo binti mmoja wa chuo kimoja hapo jijini mwanza, alikuwa na jibaba lililokuwa likimlelea na roomates walimjua huyo baba, bahati mbaya binti mwenyewe hakuwahi kuambiwa na mama yake kuhusu alipo na kazi afanyayo babake zaidi ya kuambiwa kuwa mamake alipewa ujauzito na mtu asiefahamika ( kama kweli) lakini siku moja binti huyu akiwa chuoni yaani last semester mamaake alimpigia simu na kumwambia aje dar akutane na babake, hivyo binti huyu alifunga safari na kuja dar kukutana na babaake huyo, kwa bahati mbaya sana au nzuri kwa MUNGU mtu alietambulishwa kwake kuwa ndo babake ndo hasa yule mzee aliekuwa akila nae uroda.

Confesion nyingine ni hii hapa, baba ana mahusiono ya karibu sana na bini yake kiasi kwamba hata pesa za matumizi nyumbani akiwa amesafri anamwachia binti yake, out yeye na binti yake, zawadi kwa binti yake, kuongea na kupiga stori, yeye na binti yake....mama anauliza, huu ni ubaba na ubinti tu au ni zaidi ya hayo.... kwa kweli na mengine mengiii tu. Na mara ya mwisho ni hivi karibuni nilikuwa nikisoma mahali fulani kwene net ambapo binti wa miaka kumi na nne anaeleza jinsi babake alivyokuwa akimtendea.......
 
Kibaya zaidi sasa hivi kuna tabia mbaya zaidi - baba na watoto wa kiume! Ipo case moja ya uhakika- baba alimzoesha mwanae wa kiume toka akiwa mdogo sana na hata alipokuwa na kuwa na akili, alimwambia kuwa " baba na watoto wa kiume huwa na special secrets ambazo mama na mtu mwingine hapaswi kujua.Kadhalika mama na mabinti nao huwa na siri vile vile" -na baba alimpenda sana mwanawe huyu na kuwa na mazoea ya kumpa zawadi za gharama kubwa sana.Mtoto wa kiume akawa amemwamini baba kuwa ndivyo ilivyo hadi siku baba kasafiri na mtoto hataki kwenda shule kisa anam miss baba! Alipodadisiwa zaidi akasema ana miss special secrets na baba yake!... anyway dunia imeharibika sana, ukiongea na watu wenye kufanya counselling utasikia maajabu zaidi ya haya.

nasikia vibaya hata kusoma hiyo story...
baba na mwanae???????

wos we umewahi kutana na mama na bintiye for real??????
haya mambo yanatisha...
 
hivi hii habari ya baadhi ya wazazi wa kiume
kutembea na mabinti zao ikoje?
hivi ni kweli siku hizi imeenea sana au
ni hisia tu....

maaana siku hizi kila mahali unasikia habar hizo....

nini hasa chanzo?
kuna makabila nasikia ndio yanasifika sana....

kuna mtu hapa jf alie wahi thibitisha habari hizo
au porojo za watu tu???????????????

Na huyo(mwenye antena na bichwa ka boflo) anaekula mtot wa rafikiye.... si sawa na binti yake?!:lying:
 
Mimi hizi habari hadi leo hii huwa nasikia tu na kusoma kwenye hadithi za kina Shigongo. Hakuna hata mtu mmoja ninayemfahamu anafanya vitendo hivi......kwa hiyo nadhani ni udaku zaidi kuliko hali halisi.................Nawakilisha

Wapo wengi tu, nawafahamu wanawake wazima wawili wanatembea na watoto wao wa kuzaa. Hii issue haiko kwa wanaume tu kutembea na mabinti zao, wapo hata kina mama wanaotembea na watoto wao wa kiume. Nafahamu msichana mmoja aliambiwa kuwa baba yake alifariki dunia siku nyingi, lakini ukweli ni kuwa Baba yake ni kaka yake wa tumbo moja.
 
Mimi hizi habari hadi leo hii huwa nasikia tu na kusoma kwenye hadithi za kina Shigongo. Hakuna hata mtu mmoja ninayemfahamu anafanya vitendo hivi......kwa hiyo nadhani ni udaku zaidi kuliko hali halisi.................Nawakilisha
Kama hujakutana nayo pole ila yapo wakati nasoma high school pale Bwiru nilisoma na msichana alikuwa anapendwa sana na baba yake mpaka ikawa uzushi kuwa anatembea naye na iligundulika ni kweli maana walifumwa beach kwenye mawe wakivunja amri ya sita baba alikuja kumtembelea shule
yaani natamani nikipat mtoto nimfungie hata bb yake asimshike
maana nyingine nimewahi kuiona kwa jirani yangu alimbamba mumewe namtia vidole binti yao wa miaka 6 just imagine huyu malaika wa watu aaaaaaaaaaaargh!
 
Unbelievable stuff...lakini it happens. This is not good for genetics. All the recesive genes start to dominate. I have heard of incidences where the mother is froced to abandon the matrimonial home for the daughter because of these kinds of incestous relationships.

Big curse and its only God who will save us.
 
Back
Top Bottom