Waarabu wana nguvu Iringa

Mtoa mada eti nae ni great thinker!! Nadhani kuna tatizo humu ndani

nimesema pahala pengi...

tangu baada ya 2010 pale watu wengi walipofahamu uwepo wa JF, kwa kweli wajinga wengi sana wameivamia na kuifanya iharibike na sasa mada nyingi ni upuuzi usio na ladha wala mpangilio.

hii thread ni ushahidi mwingine wa wapuuzi wanavyoendelea kuishushia heshima JF....It's just too Low.

i wish upuuzi kama huu ungepelekwa huko kwenye Facebook, Twitter na social sites nyingine na si JF.
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

Such dilute inference after only days stay in Iringa is unfortunate. Iringa ni watu very welcoming nafikiri kuliko makabila mengi. Kuna communities chungu mzima zinastawi wakiwemo wachaga ambao ni wengi kuliko hata akina Asas. Na hii ndiyo historia ya Iringa. Conquests za Mkwawa zililileta wageni wengi toka Tabora, Kondoa, Songea nk. hivyo Iringa is an inclusive society unlike Moshi which is a very tiny spot somewhere in Tanzania, very selfish people and which is now grapling with a desert climate. Watu wanakimbia Moshi kwa kwa sababu hakuna opportnuties kama Iringa. Moshi by day is chaotic, by night is a ghost town.
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa............................
natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga............................... ???

Kama siku tano!!!!!!! Inaonekana hujawahi kutembea na kama umetembea labda hujawahi kufanya hivyo kikazi. Na huo muda wa kama siku tano mbona ni mfupi sana kuweza kuelewa mji na taratibu zake? Hao wachaga wa Moshi walichokifanya si cha ajabu sana kama ungefanya research ya kutosha hapo Iringa. Najua utakua unazungumzia biashara za double road, soko la kati, stand kuu nk za Moshi. Mbona Panjuan, Elghadeer na jamii zake wa double road hamjawafukuza??? Kwanza wewe ni mchaga wa sehemu gani huku Moshi (Kishumundu nini) maana unaonekana ni mshamba wa kusafiri??? maana utasikia naenda Moshi kumbe mtu anaishia Mwanga.

You are not thinking great unashangaashangaa tu, wamefanya vizuri kukupa hako katrip, wenye mazoea ya kusafiri kikazi hawako hivyo. Angalia usije ukashindwa kutekeleza yaliyokupeleka siku nyingine ukakosa visafari.
 
nimemaliza miezi sita sasa na mambo ni yale yale
 
Nyee nyee umwana veve mdesi!Mkwi deee Umwana va Sekindole nene!uwudesi gani huoo...Natamani ningekuwapo Iringa...nikupeleke Ugwachanya kwa bibi...akusokole uchafu wote utoke,tena akugogole weee mpaka tumbo liwe pyee!
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

Ish kumbe wewe mbaguzi?
 
Mbona hawajawahi kukaa wahindi na waarabu wengi wa kupigiwa mfano unalaolazimisha watu waufuate? Lakini sikushangai kwa sababu huijui Moshi na ndo maana proudly unadiriki kuongea upumbaaaa wako mbele ya GT. Ungekuwa unaijua vizuri Moshi ungeelewa kuwa waarabu na wahindi wa Moahi hawakufukuzwa bali wengi wao waliondoka kama walivyoondoka katika mikoa mingine kutokana na kubadilika kwa changamoto za kiuchumi.
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????

mbona husemi dar waswahili tumewaachia nyumba wahindi katikati ya mji na sisi kukimbilia chamazi?nasi pia wajinga?dunia kwa sasa imeshikwa na waarabu huoni hata uwekezaji katika vilabu vikubwa huko ulaya ni vya waarabu?kitu chochote cha starehe kikitoka order ya kwanza zinakuwa za waarab wanajua kutumia utajiri wao
 
Ebwanaeee huyu jamaa mbaguzi wa hali ya juu! Enzi za mwalimu we unafungwa tu! Kabuuuru we
 
Hiki ndicho wana JF wanachotakiwa kukifanya, pindi mtu anapoleta mada kama hizi. Na zile zinazohusu dini, sisi ni watanzani bwana swala kabila dini unatoka mkoa gani halina nafasi hapa. mleta mada hana coment amechooka.
 
Nimetembea Tanzania nzima mpaka Unguja na Pemba sijaona Mtanzania mjinga kama Huyu Jamaa ningekuwa namjuwa ningemfi..a kisha ningemuulia Mbali anatuharibia sifa ya Utanzania na Sasa nimeanza kuamini kweli Mwl. J K Nyerere alikuwa anaona mbali kwenye Dira yake
 
Huyu Ndg inaelekea ana chuki tu wala hana la maana anacho taka kuliwasilisha,lakini binadamu tumeumbwa na hulka na silka tofauti,kuna watu huwa na hulka za kibaguzi huenda amezaliwa nayo silka ya kibaguzi ,tena ana ubaguzi wa chuki na husda unaye mtoka ndani ya moyo wake!!
 
Labda vijiwe vya wauza ugoro na gahawa, vinginevyo mie nimekaa huko sijawahi kuona hiyo hat kama ni kweli kuna waarabu kama tu mikoa mingine ila wazawa na weusi pia wanaheshimika tu. Kule hawajawahi kuw ana mbunge mwaraabu hat mmoja sijui umeishajiuliza hilo. Hao unaowasema inaelekea ni maskini wavijiweni wanaoshangaa weupe!

Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
 
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.

Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
tatizo la mji wa Iringa ni kwamba shughuli nyingi za kiofisi zipo hapo mjini, ambapo tuna weza kusema ni old town, na mzunguko mkubwa wa pesa haupo hapo mjini , sasa na historically old towns nyingi walikuwepo waarabu na wahindi, kama ilivyo kariakoo, na asili ya mwaafrika hata elites hawapendi kuka sehemu za biashara na asili yetu haikuwa biashara, hivyo wenyeji wengi walipenda kujenga sehemu za makazi ya watu ambapo hakuna biashara kama ilivyo o'bay ya dsm, na wafanya biashara wakubwa wa iringa ni wakinga sasa kazi ya kumtoa mtu aliye aanza biashara siku nyingi si ya siku moja na opportunity sio hapo mjini tu hata kariakoo kwenda njombe, ruvuma, mbeya n.k zipo ,kwa wahehe wao ilikuwa ni shule na kufanya kazi za kuajiriwa , lakini hali siku hizi ina badilika kwani mtz wa jana si wa leo, endelea kukuwa na kujifunza kwanini mkishimundu alikuwa/ana dharaulika na leo yupo je? ingawa kiasili bado haeshimiki.
angalia pare ya wakati ule na ya sasa.
ukienda bkb , mnyambo alikuwa anajiita mhaya maana walionekana wa chini, siku hizi mambo ni tofauti, tabora mnyamwezi ni kama muhehe kusoma na kufanya kazi, manyema aliogopwa kwa ndumba na mwaarabu kufanya biashara na mhindi mjini, na kutokuwepo kwa barabara enzi hizo kulirudisha nyuma fursa za maendeleo au za kukuza biashara. na reli ndio hiyo wameiua.
uzuri wa mkishi-mundu ulikuwa kwamba kaka/dada/mjomba akipewa kazi ya udc/education officer/afisa biashara, alikuwa anachukua na ndugu na kumsaidia aanze kioski, aende kusomea ualimu, kumtafutia kazi idara ya kodi, halmashauri, nursi, kwenye idara ya biashara n.k na kumkumbusha wajibu wa kujitegemea na kujenga nyumbani, sasa wengine hwakuwa hivyo, ndio maana nukwambia mabadiliko ya binadamu ni process.
 
Sasa hawa wahehe wawaondoe waarabu wamefanya kosa gani? kila mji unastaili yake ya maisha na utamaduni wake. Mwishowe utasema Dar es Salaam Wazaramo wanawanyenyekea wasio wenyeji wa asili kwa kutawala Kariakoo, Manzese, Msasani, Oystabay, Mwenge, Sinza nk. Shughuli za kiuchumi ndivyo huamua staili ya maisha ya mahali. Tumezoea kuzisikia nyimbo hizi za ukabila, ukanda, udini na ujinsia kutoka kwa Nape. Na wewe umo?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom