Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Be twivagaya sida!
Vagaya sida wapi wakati mnaomba msaada wa chakula na mboga?
Be twivagaya sida!
Aisee nimeshangaa sana na maisha ya watu wa hapa Iringa,tumekuja hapa kikazi tuna kama siku tano sasa,yaani tumegundua wenyeji wa mji huu wa Iringa wameshikwa pabaya na waarabu,inakuwa kama wana waabudu waarabu halafu waarubu kibao mji huu,yaani mwarabu akiongea kitu kidogo mhehe anakimbia hasa.
Mwarabu akipita na gari utasikia jamaa wanabishana hhii gari ni ya Fm au sijui nani, yaani kwa ujumla wahehe hamna kitu, natamani wangeenda moshi waone jinsi wachaga walivyotimua wahindi,kinachoshangaza zaidi inakuwaje Iringa iwe na wanasiasa na viongozi maaraufu lakini watu wao wawe wajinga kiasi hiki????
mbona hukuwauliza walivyotajirika??hawa wameua sana tembo zetu na walitajirishwa na meno ya tembo wakati wahehe wamelala usingizi wa pono
Siku zote mji uliko kaliwa na waarabu au waburushi wenyeji wanakuwa hawana maendeleo
Matajiri wahehe mfano?
hiyo ya mji kukaa juu sijaridhika,kwani wenyeji wanashindwa kujenga mji wa kisasa pale chini inakopita barabara kuu??ni watu wangapi wanapita pale wanashindwa kupumzika na hakuna mahali pa kupumzika???kwa mtazamo wangu waarabu ni wafuga majini na ndio wanasababisha mji uendelee kuwa maskini,angalia mbeya jinsi inavyokuwa kwa kasi ya ajabu,,kuna kitu bana!!!
Kwa hesabu yako watu 6000 kugawa kwa baa 13 unapata angalau watu 460 kwa kila baa!!! aisee huko kuna biashara nzuri !!! :shock:kwanza ndugu mtoa mada hujaenda ndani katika masuala ya watu wa iringa.waarabu wa kwanza iringa ni wazee wa asas na fm abri.wote hawa kabila moja na ndugu wa karibu sana.nilisoma na mtoto wa asas na fm o level.waliniambia wazeze wao walikuja toka uarabuni maskini saana.wakaanza maisha isimani na sahv ni moja wa matajiri iringa na southern tanzania.wahehe si watu wabiashara saana lkn huvutwa nyuma na ulanzi na ulevi mwingine.mfano mi nipo hapa gangilonga kuna baa 13 kubwa,na wakazi wa hapo gangilonga hawazidi 6000
MTANDI mwenye embalasasa motel na kampuni yaukandarac, KAUNDAMA mwenye kalenga motel na maduka yajumla jumla pamoja na magari makubwa yausafirishaji, LUVINGA mwenye m.r hotels, MKWAWA mwenye hillpot hotels, NYAGAWA mwenye mabus ya upendo na budget, MFUGALE mwenye kituo cha radio ebony fm na hotel kubwa pale dar mitaa ya posta inaitwa pcock hotel, hao niwachache 2 kwa harakaharaka.
Punguza jazba kijana, usije ukaenda kujinyonga kisa hii mada.Mji mbona uko poa tu au we unapaonaje? Matajiri ni kweli wapo waarabu ila sina uhakika unaposema wao ndio wameshika uchumi although wanachangia kwa kiasi kikubwa ila miradi yao inatoka nje ya mji kama Asas Dairy, Dabaga fruits, na wengineo.
Sijajua unataka wawafukuze vipi wakati kuna matajiri wamekimbia biashara zao wamebadilisha na wapo dar, mfano S.T. Abri marehemu alikuja dar na biashara kabadili anafanya real estate, iringa kinatuangusha kilimo ila mbona hujasema mbao biashara ya matajiri wahehe? Mbona hujaona chai? Tena ya muhehe kiwanda?
Na vingine vingi sana, unahitaji kuelewa kuwepo kwa waarabu wachache hao kina Huwel tena hata uarabuni wengi hawana ndugu huyu unaemtaja mama ni mswahili, waarabu wenzie wakamtenga ndo tumfukuze aende wapi? Just be reasonable! Biashara hata wakazi wenyewe wamezihamishia dar, njo kkoo uliza, nadhani ni vizuri ufanane na hiyo ID yako!