Wooooooooooooooooow.....
Bro are you serious?
Nani kaitangaza?
Jimbo langu la Ubungo bado!
Mmmhhhh napumua kwa furaha jamani msicheze na nguvu za mafisadi, but nimefurahi nguvu ya umma ni zaidi dadhani hata huko luvuma na dodoma wameona!
ndio tupo hapa loyora tunashangilia ushindi wa mnyika
kashinda kwa kishindo