johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika amesema Kikatiba Kamati za Bunge za Hesabu za Mashirika ya Umma PAC na ile ya Hesabu za Serikal za Mitaa LAAC zinatakiwa ziongozwe na Wabunge wa Upinzani.
Lakini kwa sasa zinaongozwa na Kaboyoka na Mdee ambao siyo Wabunge wa CHADEMA, walishawafukuza.
Kaboyoka na Mdee ndio watachunguza Ripoti ya CAG, amelalamika Mnyika
Chanzo: ITV Habari
Lakini kwa sasa zinaongozwa na Kaboyoka na Mdee ambao siyo Wabunge wa CHADEMA, walishawafukuza.
Kaboyoka na Mdee ndio watachunguza Ripoti ya CAG, amelalamika Mnyika
Chanzo: ITV Habari