Elections 2010 Waangalizi washinikiza kutangazwa Mnyika na Mdee

mdaumie

Member
May 12, 2008
77
1
Sasa hivi kwa shinikizo kutoka kwa waangalizi ni kwamba Mnyika kashinda ubungo
na pia mdee kashinda Kawe



habari ndo hiyo
 
Kama kweli wanastaili Pongezi bse am sure watakuwa hawajalala bse mpaka jana mida ya saa sita usiku nilimwona Mnyika yuko kituoni
 
Wooooooooooooooooow.....
Bro are you serious?
Nani kaitangaza?

Mkuu Pj hongera sana kwa kazi TAKATIFU jana hapo geneva ya africa......watu laki moja almost agaist polisi wangapi sijui? waliachia wenyewe!
 
Mmmhhhh napumua kwa furaha jamani msicheze na nguvu za mafisadi, but nimefurahi nguvu ya umma ni zaidi dadhani hata huko luvuma na dodoma wameona!
 
Mmmhhhh napumua kwa furaha jamani msicheze na nguvu za mafisadi, but nimefurahi nguvu ya umma ni zaidi dadhani hata huko luvuma na dodoma wameona!

Wanahitaji more enlightment bana...
 
ndio tupo hapa Loyora tunashangilia ushindi wa Mnyika

kashinda kwa kishindo
 
Hakyanani kama NEC wangeleta ufisadidi pale Ubungo, usiku wa leo tungekuwa tuna'discuss issoes nyingine kabisa.
 
No matter what they do or whatever what they do ubungo na kawe ni ya chadema hakuna ubishi
 
I voted in Ubungo, CCM hata wafanye nini hawawezi kumwangusha John Mnyika. Ukiongea na watu (exit poll) Mnyinka ana kati ya 60 to 70%. Wengi walipigia Chadema kwa Kila kitu, Urais, Ubunge na Udiwani. Ubungo ni Jimbo kubwa bila shaka kura za urais kule zinawatisha baadhi ya watu and they want to manage it!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom