Waandishi wa Habari mtakuwa mmemsaliti Nape mkiwepo kesho wakiapishana

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,923
2,003
Kila mwandishi nadhani amesikia leo kuwa Nape ameenguliwa kwa ajili ya kutetea maslahi ya tasnia yenu ambako kumempelekea mbunge wa Mtama ndugu muheshiwa Nape kupoteza uwaziri wake mbichi kabisa.

Mmeshuhudia namna Clouds ilivyovamiwa na kiongozi wa mkoa wa Dar ndugu ******* ambaye leo ndio angekuwa hatakiwi kuwepo ofisini, lakini kwa kwa hali ya kushangaza mtu alodili akiwa kiongozi wa serikali kukemea na kuunda tume kitu ambacho toka enzi za maswahibu ya kina Kibanda, Mwangosi hatujawahi ona waziri mwenye dhamana ya habari akidili kufanya ambacho hiki Nape amejaribu kukifanya kwa ajili ya Uhuru wa wanahabari,

Leo mtakuwa watu wa ajabu kumwacha Nape mwenyewe na nyie kwenda kuripoti tukio zima la upishwaji wa mtu ambaye anarithi nafasi ya mtetezi wenu.
Cha msingi kesho Machi 24 muda huo kila chombo cha habari kiwe bize na utafutaji wa habari zingine kwani uapishwaji huo unatokana na KUPUUZWA KWA MALALAMIKO YENU.

Wadau wa habari tunaichukulia kesho kama mtaweza kuitumia siku hiyo kwa kutoletea tukio hilo labda litaweza saidia kilio chenu kusikika huenda pia MKAMFARIJI Nape kwa uhamuzi wenu huu.
 
kila mwandishi nadhani amesikia leo kuwa nape ameenguliwa kwa ajiri ya kutetea maslahi ya tasnia yenu ambako kumempelekea mmbunge wa mchinga ndugu mueshiwa Nape kupoteza uwaziri wake mmbichi kabisa.
Mmeshuhudia namna clouds ilivyovamiwa na kiongozi wa mkoa wa dar ndugu ******* ambaye leo ndio angekuwa hatakiwi kutokuwepo ofisini,lakini kwa kwa hali ya kushangaza MTU alodiri akiwa kiongozi wa serekali kukemea na kuunda tume kitu ambacho toka enzi za maswahibu ya kina kibanda,mwangosi hatujawahi ona waziri mwenye dhamana ya habari akidiri kufanya ambacho hiki nape amejaribu kukifanya kwa ajiri ya Uhuru wa wanahabari,
leo mtakuwa watu wa ajabu kumwacha nape mwenyewe na nyie kwenda kuripoti tukio zima la upishwaji wa mtu ambaye anarithi nafasi ya mtetezi wenu.
Cha msingi kesho march 24 muda huo kila chombo cha habari kiwe bize na utafutaji wa habari zengine kwani uapishwaji huo unatokana na KUPUUZWA KWA MALALAMIKO YENU.
Wadau wa habari tunaichukulia kesho kama mtaweza kuitumia Siku hiyo kwa kutoletea tukio hilo labda litaweza saidia kilio Chenu kusikika huenda pia MKAMFARIJI Nape kwa uhamuzi wenu huu.
wasiwepo kwenye kuapishwa kesho halafu wewe ndio utawauzia magazeti yao.
 
Usiwe fala kiasi hicho.
Serkali nayo inavyo vyombo vya habari
Nilipanga nkutukane tusi kubwa lakini hizi fake id zikanifanya niweke break usikute nikakutakana kumbe namtukana mtoto wa dingi wa nje ya ndoa nkaitia damu yetu kwenye laana ya ushoga.hivi ulishawah kumuona ******* ameshawah tumia chombo cha serekali kutangaza mambo yake ,ujawahi so elewa vyombo vyao havifatiliwi kama hivi binafsi
 
kila mwandishi nadhani amesikia leo kuwa nape ameenguliwa kwa ajiri ya kutetea maslahi ya tasnia yenu ambako kumempelekea mmbunge wa mchinga ndugu mueshiwa Nape kupoteza uwaziri wake mmbichi kabisa.
Mmeshuhudia namna clouds ilivyovamiwa na kiongozi wa mkoa wa dar ndugu ******* ambaye leo ndio angekuwa hatakiwi kutokuwepo ofisini,lakini kwa kwa hali ya kushangaza MTU alodiri akiwa kiongozi wa serekali kukemea na kuunda tume kitu ambacho toka enzi za maswahibu ya kina kibanda,mwangosi hatujawahi ona waziri mwenye dhamana ya habari akidiri kufanya ambacho hiki nape amejaribu kukifanya kwa ajiri ya Uhuru wa wanahabari,
leo mtakuwa watu wa ajabu kumwacha nape mwenyewe na nyie kwenda kuripoti tukio zima la upishwaji wa mtu ambaye anarithi nafasi ya mtetezi wenu.
Cha msingi kesho march 24 muda huo kila chombo cha habari kiwe bize na utafutaji wa habari zengine kwani uapishwaji huo unatokana na KUPUUZWA KWA MALALAMIKO YENU.
Wadau wa habari tunaichukulia kesho kama mtaweza kuitumia Siku hiyo kwa kutoletea tukio hilo labda litaweza saidia kilio Chenu kusikika huenda pia MKAMFARIJI Nape kwa uhamuzi wenu huu.

This is the most hypocritical cadre I have ever seen. Hata li Mkapa analijua vizuri.

Suubiri uone
 
Akina Muro hawawezi acha kwenda!
Atakuwa na akili za kuku kama miaka michache ilopita akiwa kama mwandishi habari wasopenda Uhuru wa habari walivyomtenda.ila sidhani jelly anaweza jitoa ufahamu kiasi hicho
 
kila mwandishi nadhani amesikia leo kuwa nape ameenguliwa kwa ajiri ya kutetea maslahi ya tasnia yenu ambako kumempelekea mmbunge wa mchinga ndugu mueshiwa Nape kupoteza uwaziri wake mmbichi kabisa.
Mmeshuhudia namna clouds ilivyovamiwa na kiongozi wa mkoa wa dar ndugu ******* ambaye leo ndio angekuwa hatakiwi kutokuwepo ofisini,lakini kwa kwa hali ya kushangaza MTU alodiri akiwa kiongozi wa serekali kukemea na kuunda tume kitu ambacho toka enzi za maswahibu ya kina kibanda,mwangosi hatujawahi ona waziri mwenye dhamana ya habari akidiri kufanya ambacho hiki nape amejaribu kukifanya kwa ajiri ya Uhuru wa wanahabari,
leo mtakuwa watu wa ajabu kumwacha nape mwenyewe na nyie kwenda kuripoti tukio zima la upishwaji wa mtu ambaye anarithi nafasi ya mtetezi wenu.
Cha msingi kesho march 24 muda huo kila chombo cha habari kiwe bize na utafutaji wa habari zengine kwani uapishwaji huo unatokana na KUPUUZWA KWA MALALAMIKO YENU.
Wadau wa habari tunaichukulia kesho kama mtaweza kuitumia Siku hiyo kwa kutoletea tukio hilo labda litaweza saidia kilio Chenu kusikika huenda pia MKAMFARIJI Nape kwa uhamuzi wenu huu.
Mkuu Nape ni Mbunge wa Mtama sio Mchinga. Swali; hivi waandishi wakigoma na wamiliki wakiwatuma wakaandike itakuwaje. Kimsingi tasnia hii inahitaji marekebisho makubwa ya kutambua nafasi yao. Kwa ufupi wana kazi ya kufanya kuepuka changamoto tuzionazo leo hii.
 
Back
Top Bottom