Waziri Nape ameuwa kabisa uhuru wa vyombo vya habari, Millard ayo anapost na kufuta

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,738
15,211
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba,haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu. Pengine haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.

Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.

Nape anapaswa kuelewa kwamba....yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili.sababu watanzania tunalijua hilo.
 
Nyie misukule ya Mwendazake ndio msiongee kabisa
 
TEC ni punje ya mchele kwenye nchi hii.

Acheni kujipa nguvu ambayo hamna.

Kama TEC ingekuwa na nguvu hiyo wangeishinda serikali kutozuia waraka usiandikwe kwenye main streams.

Nguvu ya TEC ni punje ya mchele ndo maana Nape tu kawashinda nguvu sembuse serikali?
 
Nape amejiweka pale ?

Ni sawa timu inaboronga na kufungwa unamlaumu Kipa peke yake wakati defense ni nyanya....
 
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba,haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu. Pengine haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.

Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.

Nape anapaswa kuelewa kwamba....yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili.sababu watanzania tunalijua hilo.
Kumbe Nape hakujifunza enzi za jpm?
 
Hii ni account yako au watu wamedukua? Yote na yote ni kwamba amesahau kuwa lilijengwa juu ya mwamba wa mawe.
 
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania.

Ninachotaka Nape aelewe ni kwamba,haelewi upana wa mtandao wa kanisa katika jamii yetu. Pengine haelewi kwamba Roman catholic wanaanzia kwenye jumuia za kikatoliki kule mtaani halafu wanakuja kwenye vigango na baadae parokiani.

Baada ya parokia ndio unakuja kukuta Jimbo na baadae Jimbo kuu. Hivyo basi waraka ule tayari umesomwa mpaka mashinani ambako ni mtaani. Na utaendelea kusomwa kwa wiki sita mfululizo.

Nape anapaswa kuelewa kwamba....yeye ni sawa na chembe ya mchele, pale linapokuja suala la kutaka kupambana na TEC ni kuzidi kuiaibisha serikali yenu ya CCM.

TEC inaaminika na inao mtandao mkubwa. TEC ikiongea na kuieleza Dunia ...inaaminika moja kwa moja. Tofauti na CCM. TEC ina nguvu pia za kimungu kwa sababu wanafanya maombi kabla ya kutoa tamko.

Hata Ring leader wenu analijua hilo na nimekuwekea picha hapo chini.

Mtakapoanza kujikwaa msijiulize mara mbili.sababu watanzania tunalijua hilo.
Sasa hivyo si mna uhuru ,inakuwaje tena mnalalamika ,au marehem ndo anaagiza kuta kaburini maana kilo kitu huwa mnamsingizia yeye
 
Back
Top Bottom