Waandishi wa habari mnazidi kuingamiza CHADEMA

Kwa hiyo ukiipenda cdm au ukienda kuriport habari za cdm lazima ufe na kutolewa utumbo?
 
The following user groaned MAFILILI for this useless thread
Genecius Kaiza (12/9/2012)
 
Kwanza ningependa ujue kuwa wakati wa matatizo watanzania huwa ni kitu kimoja....jaribu kuhudhuria hata misibani wakristo,wapagani,waislamu,ccm,cuf,chadema n.k wanazikana kwa ushirikiano mkubwa....hivyo hainishangazi waandishi kushirikiana na chadema kwa mujibu wako....

Suala la pili....watanzania hao wachache wameshagundua janja ya serikali kudhoofisha upinzani kupitia vyombo vya dola...wamemshtaki sana Mrema mpaka kashika adabu...wameua na kuwazushia uongo CUF mpaka wamefuata ule usemi "if you cant win them,join them"...sasa wanatumia nguvu ya polisi kuichafua chadema kwa wananchi...

POLISI wanavunja sheria na kufanyiwa sherehe tu (kuwa na kanumba chumbani ilitosha kumpeleka Lulu mahabusu bila ushahidi wa uhakika mpaka uchunguzi ukamilike)...what about askari huyu kuendelea kuwepo mtaani kama si kupoteza ushahidi ni nini?

Mwisho...kwa maelezo ya CCM kujenga barabara sijui watu waisuse chadema...kwa maneno yako haya mie sidhani kama kulikuwa na haja ya kuwaondoa wakoloni au kuwaresist kwa sababu walikuwa wakijenga viwanda, nyumba,hospitali,reli.mashule n.k....leo hii tunaoishi geita tunasubiri dhahabu ziishe tuishi kwa amani eti wewe unasema unaenda kuzifaidi....are you mwekezaji?
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Mkuu kujua ulichoandika ni hoja ya msingi au uozo, soma mawazo ya wasomaji. Tafuta asilimia ya watakaokuunga mkono na walio-against na wewe. Hepo utapata mawazo ya Watz.
 
Rubbish! Kajipange tena! unafanya kejeli kwenye msiba?
 
Kabla ya chadema kupotea wewe utakuwa wa kwanza kupotea na mawazo yako ya ajabu kabisa

Chadema kushinei kabisa. Wanaanzisha hili na lile lakini hakuna lenye tija hivyo wanaliachia njiani na hivyo kurukia lingine. Nadhani waliosema Mfa Maji haachi kutapatapa hawakukuwa mbali na ukweli uliko.
 
Mkuu kujua ulichoandika ni hoja ya msingi au uozo, soma mawazo ya wasomaji. Tafuta asilimia ya watakaokuunga mkono na walio-against na wewe. Hepo utapata mawazo ya Watz.

Tatizo kubwa la WANA CDM ni kujiona mna mawazo mazuri kuliko wengine. Chama chenu bado ni kichanga na mbinu mnayoitumia kueneza chama imeshachokwa na watz kwa kipindi kifupi
 
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.

Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.

Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Kama CCM ingekuwa ina JEMEDARI wa KWELI wasingekuwa wanagawana hizo SAFARI za NJE ya NCHI halafu bado WANAIBA

Vijana Wadogo Angalia ni AIBU TUBU angalau enzi za UPE walikuwa wanapata UNIFORMS

564082_363454563729058_54960503_n.jpg

KWELI CCM haioni AIBU TUNA DHAHABU, GAS, URANIUM Mnapeana?
 
mpaka cdm itakapo chukua nchi yatakuwa yamesemwa mengi sana......... mlisema chma cha mcmu.......mkaona bado kipo........ mkasema chama cha kikristo mkaona waislam wakikamata madaraka......... mkasema chama cha wachaga....mkaona wasio wachaga wakikamata nyazifa............sasa mnasema ni cha waandishi wa habari............. kweli mmefilisika na hamna hoja.......
 
Narrow mind ni narrow tu hata ufanye nini, ndiyo kazaliwa hivyo.

Kukaa magomeni ukaona barabara ikitengenezwa ndiyo ukaona JK anafanya kazi? Stupid nyingine bana, nyie ndiyo wa kunyonga
 
Kweli masaburi alikuwa sahihi kabisa, kumbe ni wengi wanaofikiria kwa ku2mia masaburi
 
Back
Top Bottom