Las Mas Bobos
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 991
- 326
Tungeruhusiwa kutukana jamani
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.
Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.
Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.

Unafikiri wote tuko kama wewe. ni issue ya IQ tu, nyingine ni ndogo sana. Hasa za watu waliobaki CCM.Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.
Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.
Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.
Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.
Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.
Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.
lete tofali ili nijenge.
Ccm nadhani imewapa maisha bora baba na mama yako.........kama chadema mwisho wake mwezi wa 12/2012 povu la nini linakutoka?....kama unajua kinakufa soon unajamba mavi kwanini?pumbavuuu kabisa.tuachie chama chetu chadema
Eti uongozi shupavu wa jemedari jk! Sema uongozi dhaifu wa ccm na jk banaa! Magamba bana namtajibeba safari hii! Yani kwenu nyinyi watu wakihoji ujinga wenu na wizi mnaofanya eti nimchochezi oneni aibu
Hivi na wewe akili zako timamu?Imekuwa ni kawaida kwa waandishi wa habari, wakiongozwa na TAMWA kupitia Ananieli Nkya kufanya kazi ya kipaza sauti cha CHADEMA pasipo kujali uhalisia wa tukio husika. Majuzi imejidhihirisha kuwa vyama wa waandishi habari wapo begabega na CDM kushupalia kifo cha Daudi Mwangosi; hili hali isipodhibitiwa na mamlaka husika itatia doa utawala bora ulipo nchini kupitia UONGOZI SHUPAVU wa Jemadari JK.
Hatahivyo watanzania tulio wengi tumegundua janja za CDM na waandishi wa habari hivyo CDM watapotea katika ramani ya siasa nchini Tanzania kabla ya Disemba 2012 kwa vile matamshi yao na mtindo wao wa kuendesha siasa umejaa ubabaishaji na uvunjaji wa amani pamoja na kutojali amri sahihi za KIPOLISI.
Watanzania kwa faida yetu tuwe wawazi, majasiri na imara kupinga harakati za CDM kwani hazina tija kwa taifa letu ambalo linatazamia kufaidika na raslimali zilizopo. Pia kudhoofika kwa CDM kutatoa fursa kwa CCM kutekeleza kwa kasi zaidi mipango ya kuwaletea maisha bora watz; pongezi serikali ya CCM kwa ujenzi unaoenda kwa kasi kubwa mfano barabara za jijini DSM.
Una bahati upo mbali, lazima ningezaa na wewe
Wewe unaogopa kubeba mimba?inaonekana una hamu sana ya kubeba mimba