Waajiliwa wapya serikalini, pita hapa panakuhusu

group lipo tayar...

ukitka kuungwa lazima kiongz ajiridhishe kwa kuuliza ni taasis gani uliajriwa, muda na mwezi gani, ili tufanye mlinganisho na kwenye documents tulizonazo.

karibun
 
group lipo tayar...

ukitka kuungwa lazima kiongz ajiridhishe kwa kuuliza ni taasis gani uliajriwa, muda na mwezi gani, ili tufanye mlinganisho na kwenye documents tulizonazo.

karibun
Wewe kama muajiriwa hizo documents umezitoa wapi??naanza kuwa na mashaka na wewe
 
hahahahahahaa mwanchekesha miie yani mpaka leo eti mwasubiri ajira?mbona mnakuwamasikin wa fikra hivyo sina maana yakwamba nawatukana hapana nyinyi ni wasomi kwa nn mkae mnasubiri kuajiriwa na mlalamike kwa serekali?moja ya wajibu wa serekali ni kuwasomesha raia wake bila shaka mmesomeshwa sasa kwanini msianzishe hilo group la wasap then mkaangalia jinsi gani mnaweza kutoka mfano mnaweza kuanzisha project ya kilimo na mkafanikiwa zaidi kuliko huko kusubiri ajira za serekali mm binafsi yangu ni mhitimu wa kidato cha sita na nimefaulu vizuri tu kwa div2 now nipo shamba nalima water melone, nyanya na matango natarajia baada ya muda mfupi sitakaa na kuwaza ajira serekalini naambia ukweli mnapoteza muda and remember time never wait ajira za serekali ni kupotezeana muda tu jiulize umekaa bench kwa muda gani mpaka sasa but ungelima matango tu nusu heka mpaka leo hii tunaongea hapa ungekuwa unajua now upo kwenye position ipi coz matango ni only one month mpaka unavuna mpaka sasa ungekuwa umesha vuna hayaa tikiti maji ni 2month only haya nyanya ni 75days until havesting, Jamani embu tutumieni kiwango chetu hicho kidogo cha elimu kujitoa kimaisha mm nawaambia ukijikita kwenye kilimo huwezi kufikiria kuuajiriwa embu liangalieni hili
Wazo zuri kutoka kwa papaa kama mtu akisoma akaelewa, ila kama ni mkurupukaji utajibu kwa kukurupuka sababu hujaelewa content iliyomo ndani.
 
Mtu anatoa wazo ila wakurupukaji nao wanakurupuka kutoa replies zisizo na kichwa , nan.ana shida na uadmin? Ni wazo tu limetoka...kama hutak endelea na yako mengine kutembelea zoom na kupiga marktime mjini huko mkitafuta hizo ajira hewa za mdomo.
 
Back
Top Bottom