Waajiliwa wapya serikalini, pita hapa panakuhusu

hizo group za whatsapp zikiwa na member wengi huwa mnalipwa au?? maana kila mtu kitu kidogo tu group la whatsapp heeew au ni UCHU WA MADARAKA mnataka mjipooze kwa kuwa ma admin??
 
Mtakuja kuopolewa kama samaki maana najua matusi na lugha za kejeli zitatawala juu ya Mkulu.Hakika hamtakuwa salama na ndo hivyo mtakuwa hamjuani.Jiandaeeni na dhamana za milion 5.Kuna mtu alijaribu kumuita Magu akadhani atabaki salama,Lahaulaaa wakamchukua naye.
Jamiiforums bado ni sehem salama kwasasa nadhani ndo mahali pekee kujadili mada zote zenye ukakasi.
Mnachotakiwa kufanya ni kuanzisha Topic yenu na kuomba iwekwe sticky na Moderators then mnalisongesha kwa uhuru na amani.Povu likikujaa ukatoa katusi kadogo Moderator anakushughulikia kidogo.
Hofu yako inabaki kwenye Ban tu na sio mambo ya mahakamani.
 
hahahahahahaa mwanchekesha miie yani mpaka leo eti mwasubiri ajira?mbona mnakuwamasikin wa fikra hivyo sina maana yakwamba nawatukana hapana nyinyi ni wasomi kwa nn mkae mnasubiri kuajiriwa na mlalamike kwa serekali?moja ya wajibu wa serekali ni kuwasomesha raia wake bila shaka mmesomeshwa sasa kwanini msianzishe hilo group la wasap then mkaangalia jinsi gani mnaweza kutoka mfano mnaweza kuanzisha project ya kilimo na mkafanikiwa zaidi kuliko huko kusubiri ajira za serekali mm binafsi yangu ni mhitimu wa kidato cha sita na nimefaulu vizuri tu kwa div2 now nipo shamba nalima water melone, nyanya na matango natarajia baada ya muda mfupi sitakaa na kuwaza ajira serekalini naambia ukweli mnapoteza muda and remember time never wait ajira za serekali ni kupotezeana muda tu jiulize umekaa bench kwa muda gani mpaka sasa but ungelima matango tu nusu heka mpaka leo hii tunaongea hapa ungekuwa unajua now upo kwenye position ipi coz matango ni only one month mpaka unavuna mpaka sasa ungekuwa umesha vuna hayaa tikiti maji ni 2month only haya nyanya ni 75days until havesting, Jamani embu tutumieni kiwango chetu hicho kidogo cha elimu kujitoa kimaisha mm nawaambia ukijikita kwenye kilimo huwezi kufikiria kuuajiriwa embu liangalieni hili
 
SUBIRI utatumia namba ya mh MAKONDAKTA sasa hivi, mnachati na kupanga mikakati yenu mkifikiri mpo pamoja kumbe wengi wanawa-SPY!
uwoga wako ndio umasikini wako....!
ndio maana nikaitaji waajiriwa wapya, maana wangekuwa waoga kama ww wasingeweza kutoboa pale secretariate, maana bila confidence nakutumia ubongo wako kwa zaid ya 50% uchomoki...

Taifa hili halitajengwa na vizazi vya aina yako vyenye chembe ya uoga
 
hahahahahahaa mwanchekesha miie yani mpaka leo eti mwasubiri ajira?mbona mnakuwamasikin wa fikra hivyo sina maana yakwamba nawatukana hapana nyinyi ni wasomi kwa nn mkae mnasubiri kuajiriwa na mlalamike kwa serekali?moja ya wajibu wa serekali ni kuwasomesha raia wake bila shaka mmesomeshwa sasa kwanini msianzishe hilo group la wasap then mkaangalia jinsi gani mnaweza kutoka mfano mnaweza kuanzisha project ya kilimo na mkafanikiwa zaidi kuliko huko kusubiri ajira za serekali mm binafsi yangu ni mhitimu wa kidato cha sita na nimefaulu vizuri tu kwa div2 now nipo shamba nalima water melone, nyanya na matango natarajia baada ya muda mfupi sitakaa na kuwaza ajira serekalini naambia ukweli mnapoteza muda and remember time never wait ajira za serekali ni kupotezeana muda tu jiulize umekaa bench kwa muda gani mpaka sasa but ungelima matango tu nusu heka mpaka leo hii tunaongea hapa ungekuwa unajua now upo kwenye position ipi coz matango ni only one month mpaka unavuna mpaka sasa ungekuwa umesha vuna hayaa tikiti maji ni 2month only haya nyanya ni 75days until havesting, Jamani embu tutumieni kiwango chetu hicho kidogo cha elimu kujitoa kimaisha mm nawaambia ukijikita kwenye kilimo huwezi kufikiria kuuajiriwa embu liangalieni hili

nashukuru kwa ushauri wako, ila tatizo ni dv 2, naomba jitahidi kuwa unatumia akili yako walau kwa asilimia kumi (10%) ya ubongo wako....

Nakujibu kama ifuatavyo, watu wanaoitimu nchii kwa mwaka ni wastani wa 40, 000 kwa mwaka, bado na nyie form 6 failures na wale waliopass wote waende kulima kama unavyoitaji ww,hilo tikiti maji ulilokuwa unauza 600 ili upate faida, hao wote wakienda kufanya kilimo baada ya miezi sita utaliuza hilo tikiti maji kwa senti ngapi?
na wale wakulima ambao hawajaenda shule na walijikuta kilimo kama sehemu ya maisha yao, unadhani watakuwa wameathirika kwa kiasi gani ujio wa wasomi mashambani ambao wanaitaji kufanya kilimo cha kisasa...??

nadhani unasikia kuhusu kilimo cha nyanya namna soko lake lilivyokuwa fractuated, nakukatisha tamaa wakulima, have u thought why all those staffs happened to them?
 
Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!! nadhani utakuwa ushajijua unastailli kuwapo wapi hapo!
hizo group za whatsapp zikiwa na member wengi huwa mnalipwa au?? maana kila mtu kitu kidogo tu group la whatsapp heeew au ni UCHU WA MADARAKA mnataka mjipooze kwa kuwa ma admin??
 
na
Mtakuja kuopolewa kama samaki maana najua matusi na lugha za kejeli zitatawala juu ya Mkulu.Hakika hamtakuwa salama na ndo hivyo mtakuwa hamjuani.Jiandaeeni na dhamana za milion 5.Kuna mtu alijaribu kumuita Magu akadhani atabaki salama,Lahaulaaa wakamchukua naye.
Jamiiforums bado ni sehem salama kwasasa nadhani ndo mahali pekee kujadili mada zote zenye ukakasi.
Mnachotakiwa kufanya ni kuanzisha Topic yenu na kuomba iwekwe sticky na Moderators then mnalisongesha kwa uhuru na amani.Povu likikujaa ukatoa katusi kadogo Moderator anakushughulikia kidogo.
Hofu yako inabaki kwenye Ban tu na sio mambo ya mahakamani.
shukut kaka, tutalifanyia kazi kiongoz wao lako, nimelipenda sana
 
hizo group za whatsapp zikiwa na member wengi huwa mnalipwa au?? maana kila mtu kitu kidogo tu group la whatsapp heeew au ni UCHU WA MADARAKA mnataka mjipooze kwa kuwa ma admin??
Kuna watu wengine bwana. Kama unaona so la msingi potezea.
"Contradictio en terminus"
 
hahahahahahaa mwanchekesha miie yani mpaka leo eti mwasubiri ajira?mbona mnakuwamasikin wa fikra hivyo sina maana yakwamba nawatukana hapana nyinyi ni wasomi kwa nn mkae mnasubiri kuajiriwa na mlalamike kwa serekali?moja ya wajibu wa serekali ni kuwasomesha raia wake bila shaka mmesomeshwa sasa kwanini msianzishe hilo group la wasap then mkaangalia jinsi gani mnaweza kutoka mfano mnaweza kuanzisha project ya kilimo na mkafanikiwa zaidi kuliko huko kusubiri ajira za serekali mm binafsi yangu ni mhitimu wa kidato cha sita na nimefaulu vizuri tu kwa div2 now nipo shamba nalima water melone, nyanya na matango natarajia baada ya muda mfupi sitakaa na kuwaza ajira serekalini naambia ukweli mnapoteza muda and remember time never wait ajira za serekali ni kupotezeana muda tu jiulize umekaa bench kwa muda gani mpaka sasa but ungelima matango tu nusu heka mpaka leo hii tunaongea hapa ungekuwa unajua now upo kwenye position ipi coz matango ni only one month mpaka unavuna mpaka sasa ungekuwa umesha vuna hayaa tikiti maji ni 2month only haya nyanya ni 75days until havesting, Jamani embu tutumieni kiwango chetu hicho kidogo cha elimu kujitoa kimaisha mm nawaambia ukijikita kwenye kilimo huwezi kufikiria kuuajiriwa embu liangalieni hili
Ingelikua zamani ningeshakupa bonge la kombora,naogopa cyber crime ngoja nipite kimya
 
Acha blabla hapa. We tupe njia za KUSAKA mtaji kwanza then ndo Tulime. We unafikili kulima ni kusoma??
 
Back
Top Bottom