Android
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 970
- 1,207
Dar e salaam, Tanzania.
Wengi mlisikia naibu waziri Jaffo kwamba serikali inafikiria kuja na mpango maalumu kuwachukua watu waliosoma masomo ya hisabati na sayansi lakini hawakusoma ualimu kuchukuliwa kwenda kufundisha hayo masomo, sababu ni uhaba ya walimu wa masomo hayo.
Basi tukutane hapa wale wote mliosoma masomo ya sayansi na hisabati na mkasoma taaluma zingine lakini sasa mpo benchi, au labda mpo sehemu ambazo hamridhiki na mngependa muajirwe na serikali kama walimu.
Sababu serikali imesema hili jambo lakini imeliacha hewani, haijasema lini na namna gani italifanikisha. Tupange tukutane mahali tuliongee hili kwa urefu, na tukiwa wengi kwa umoja wetu tukaenda wizarani au tukamuona waziri Ndalichako au waziri Jaffo au katibu wizara serikali inaweza kutoa mungozo kuhusu hili. Kama vile lini watalitimiza hili jambo, na kutoa utaratibu maalum wa jinsi gani ya kutuchukua. Kama kutakuwa na crush program maalum tutafahamu au kama kutakuwa na uataratibu wa kuandikisha majina wanaotaka huo mpango, tutafahamu pia. Huwezi jua huenda walimu wapya wakichukuliwa na sie tukalamba dodo.
Hivyo basi walio tayari tuchangie huu uzi na sehemu ya kukutana tutapanga, mimi nipo Dare s salaam, kwa waliopo Dare salaam tutapanga sehemu ya kukutana kwa waliopo mkoani tutaangalia uatartibu wa kuwajumuisha au kama mtapanga kukutana na kutupa ripoti na mliyoyafikia
Wakati wa kuchangia huu uzi ningependa nipate watu siriazi wawili watatu waje inbo, ili kusaidia kuusongesha huu uzi pindi sitakuwa hewani. Watu wenye uhakika wa kuwa hewani angalau kila siku, manake msije mkaona kimya mkaona nimetelekeza uzi.
Tafadhali hifadhi ujinga wako kwa threads zingine kama huna cha kuchangia kwa thread hii..
UPDATES:
Group la whatsapp liko tayari namba ya admin 0769591328.
au weka hapa chini namba zenu za whatsapp kuna grup la whatsapp tumelitengeneza tuyajadili haya, au nitumie mimi Android inbox namba zenu za whatsaap au mtumieni Binti Forogo pm namba zenu za whatsapp tuwa add kwenye grup, ni kwa walio serious tu.
UPDATES MUHIMU
Binti Forogo
TAARIFA MUHIMU
1.Kwa walimu Wastaafu wa Sayansi wenye uwezo wa kuendelea kufundisha leta taarifa zako idara ya Elimu Sekondari Manispaa ya Kinondoni na Ubungo
2.Wanafunzi waliohitimu kidato cha sita SAYANSI wenye ufaulu principle pass mbili masomo sayansi
Na.
3.Na waliosoma sayansi lakini wamesomea course nyingine au course za sayansi mfano Afya, uchumi, uhandisi, IT, Computer scs, uhasibu nk.
4.Walioko shuleni wawaone wakuu wa shule zao ili watume taarifa.
Wengine wote leteni taarifa zenu zikizingatia MFUMO ufuatao na copy za vyeti vya kitaaluma
1.Jina ...
2.Jinsia...
3.Shule / Chuo..
4.Course au masomo..
5.Mwaka aliomaliza...
6.Unapoishi na namba ya simu....
7.Wastaafu mwaka uliostaafu.
Ukifika manispaa ya Kinondoni Elimu Na. 03 muulizie Mr. MABULA au Halima
Manispaa ya Ubungo muone Neema Maghembe.
Mwisho wa kupokea taarifa ni 09.11.2016 Alhamisi hii