Wa TZ Ughaibuni Wanaoweza Kumsaidia Dr. Wa Ukweli

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Ni kweli TZ ina rasilimali kibao nje ya nchi ambao wanaweza kurudi na kushiriki vyema katika Ujenzi wa Taifa. Tungekuwa na vijana angau kumi wenye uchungu na taifa lao, ambao wanaweza kuungana kumsaidia Dr. Slaa, Mwakyembe na wengineo katika mapambano katika ukombozi, kamwe Tanzania isingekuwa au isingeitwa nchi masikini tena. Wana Jamvini, tunawaomba mpendekeze majina Ishirini yenye influence ambayo yanaweza kuleta mabadiliko nchini kwetu.

Nitaanza na

1. Dr. Shaban Nzori, Russia
 
kumsaidia kufanya nini?kuondoa umaskini Tanzania?
 
Inaonyesha unaishi ughaibuni mpaka unamuona Dr. Mwakyembe ni mzalendo wa nchi hii.

Wanamsoma kwenye magazeti halafu wanafikiri jamaa mzalendo kumbe kelele zote ilikuwa kutafuta cheo!! Huyu jamaa ni mchumia tumboni proper.
 
hizo rasilimali zilizo ughaibuni ziendelee kukaa huko huko, hatuzihitaji, kwa kuwa wangekuwa na uchungu na nchi yao wangekuja kuisaidia sio mpaka tuwaombe. balali álichukuliwa kwa nguvu kutoka imf lakini angalia alivyotu cost
 
crap!!!
 
Ni kweli TZ ina rasilimali kibao nje ya nchi ambao wanaweza kurudi na kushiriki vyema katika Ujenzi wa Taifa. Tungekuwa na vijana angau kumi wenye uchungu na taifa lao, ambao wanaweza kuungana kumsaidia Dr. Slaa, Mwakyembe na wengineo katika mapambano katika ukombozi, kamwe Tanzania isingekuwa au isingeitwa nchi masikini tena. Wana Jamvini, tunawaomba mpendekeze majina Ishirini yenye influence ambayo yanaweza kuleta mabadiliko nchini kwetu.

Nitaanza na

1. Dr. Shaban Nzori, Russia

samahani ina maana vijana walioko tanzania hawawezi/wameshindwa kuondoa umasikini?
 
Ni kweli TZ ina rasilimali kibao nje ya nchi ambao wanaweza kurudi na kushiriki vyema katika Ujenzi wa Taifa. Tungekuwa na vijana angau kumi wenye uchungu na taifa lao, ambao wanaweza kuungana kumsaidia Dr. Slaa, Mwakyembe na wengineo katika mapambano katika ukombozi, kamwe Tanzania isingekuwa au isingeitwa nchi masikini tena. Wana Jamvini, tunawaomba mpendekeze majina Ishirini yenye influence ambayo yanaweza kuleta mabadiliko nchini kwetu.

Nitaanza na

1. Dr. Shaban Nzori, Russia

Hetu toka hapa na undugunization, Nani hajui kwamba SHABAN NZORI alisoma kwa pesa za CHADEMA na kwamba ni mwanafamilia wa mmoja wa Viongozi wa CHADEMA? Mnataka kuendeleza LISSU times 2, SLAA times2, NDESAMBURO times 2 bungeni. WHat is this type of PARTY. kwani ni uongo jamani? Hayo majina si yako kwenye uongozi wa CHADEMA mara mbili mbili?
 
Masaburi yako.
 
2. Dr. WA - UKENYENGE, huyu jamaa sifa yake ni kuibua miprogram ya kuiendeleza nchi. Mkuu tuendelee kuwataja manaake watu wanadhani mbuyu ulianza ukiwa mkubwa.
 
Hetu toka hapa na undugunization, Nani hajui kwamba SHABAN NZORI alisoma kwa pesa za CHADEMA na kwamba ni mwanafamilia wa mmoja wa Viongozi wa CHADEMA? Mnataka kuendeleza LISSU times 2, SLAA times2, NDESAMBURO times 2 bungeni. WHat is this type of PARTY. kwani ni uongo jamani? Hayo majina si yako kwenye uongozi wa CHADEMA mara mbili mbili?

Kwa mtazamo huu hatutafika, tumeanza kubaguana sasa. Mambo ya kifamilia hapa yametokea wapi tena??? Kwa hiyo mtu aliyepo nje ya nchi hatakiwi kuwa na ndugu mwanasiasa??? Hata kama amesomeshwa kwa pesa za CHADEMA, wewe unaona ni mbaya????Kipi bora, Chama kiwezeshe watu kupata elimu au kifunze watu ukomando uchwara/uhuni (Green guards)???Sisi hatutaki kujua mambo ya familia za watu hapa mana huo ndo unaitwaga umbea/majungu kama sijakosea.

Halafu usisahau kuwa kwa binadamu kufanana majina haina maana kuwa ni wanafamilia, kama ni hivyo basi almost 20% ya waislamu duniani ni wanafamilia, mana majina yao mengi yamefanana. Kwa wachaga ukiona Lyimo haimaanishi Lyimo wote ni wanafamilia, huo ni ukoo mpana sana tena unawatu wengi wasiojuana kbs. Laizer/Mollel kwa Wamasai ni hivyo hivyo, Mwakyusa kwa wanyakyusa vivyo hivyo. so achana na hiyo perception. Halafu umeongea mengi sana kwa kweli hadi nimehisi unachuki binafsi, acha hizo.
 
Hetu toka hapa na undugunization, Nani hajui kwamba SHABAN NZORI alisoma kwa pesa za CHADEMA na kwamba ni mwanafamilia wa mmoja wa Viongozi wa CHADEMA? Mnataka kuendeleza LISSU times 2, SLAA times2, NDESAMBURO times 2 bungeni. WHat is this type of PARTY. kwani ni uongo jamani? Hayo majina si yako kwenye uongozi wa CHADEMA mara mbili mbili?

Undugulization na ufamililization upi una afadhali?
Hivi n kweli mtoto wa Mwinyi n wazir?
Na Nape nae baba yake alikuwa sijui dah
Na Riz baba yake n nani vile?
Plz usilaumu tu fanya utafiti.
 
Kwa mtazamo huu hatutafika, tumeanza kubaguana sasa. Mambo ya kifamilia hapa yametokea wapi tena??? Kwa hiyo mtu aliyepo nje ya nchi hatakiwi kuwa na ndugu mwanasiasa??? Hata kama amesomeshwa kwa pesa za CHADEMA, wewe unaona ni mbaya????Kipi bora, Chama kiwezeshe watu kupata elimu au kifunze watu ukomando uchwara/uhuni (Green guards)???Sisi hatutaki kujua mambo ya familia za watu hapa mana huo ndo unaitwaga umbea/majungu kama sijakosea.

Halafu usisahau kuwa kwa binadamu kufanana majina haina maana kuwa ni wanafamilia, kama ni hivyo basi almost 20% ya waislamu duniani ni wanafamilia, mana majina yao mengi yamefanana. Kwa wachaga ukiona Lyimo haimaanishi Lyimo wote ni wanafamilia, huo ni ukoo mpana sana tena unawatu wengi wasiojuana kbs. Laizer/Mollel kwa Wamasai ni hivyo hivyo, Mwakyusa kwa wanyakyusa vivyo hivyo. so achana na hiyo perception. Halafu umeongea mengi sana kwa kweli hadi nimehisi unachuki binafsi, acha hizo.[/QUOTE

Wallah Radhim namiambieni, ni kosa kosa kubwa sana sana katika jukwaa hili kuikosoa CHADEMA, ukitaka wakuone masaburi, kosoa CHADEMA, ukitaka utukanwe, kosoa CHADEMA, ushabiki wa kupitiliza usio na macho kwa CHADEMA unaharibu dhima nzima ya "Great thinkers" hebu tuwe wavumilivu ili kulinda heshma ya jukwaa hili

Wabillah tawfiq
 
hiki cha wapi?
 
Back
Top Bottom