DUCE wameshatoa majina
kama umeomba miongoni mwa hivi basi Ingia udsm.ac.tz , Makumira , Mum ndiko nilipoona tu kwingine sijaonaWadau mliofanikiwa kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga elimu ya juu tuwekeeni lingi
Msaada kwa anaejua direct cost ya st joseph main campas dar
NIT Kmya ngoja tusubr.
Jamani vipi MWECAU , hiki chuo hawajatoa majina??
unataka ada?
2.7 milli
Duh! Kweli selection za mafungu! Hii ndo BRN