Vyuo vikuu..?? what is vyuo vikuu by the way? kuna watu wamesoma kwenye TAASISI na wanahold position za ukweli serikalini na makampuni binafsi.
Acha Ubaguzi wewe, walimu wa Tanzania ndio hao hao leo anafundisha hapa kesho pale, Je Mwalimu mmoja anayefundisha vyuo tofauti wanafunzi wake hawafanani?Vyuo viko kibao tu..ila SAUT,TUMAINI na vingine vya kata kwa kweli,thinking capacity zinakua chini sana,nahisi ni kutokana na waalimu,ambao wanaokotezwa na pia tabia yao ya kuchukua wanafunzi reject wa vyuo vingine!

Vyuo viko kibao tu..ila SAUT,TUMAINI na vingine vya kata kwa kweli,thinking capacity zinakua chini sana,nahisi ni kutokana na waalimu,ambao wanaokotezwa na pia tabia yao ya kuchukua wanafunzi reject wa vyuo vingine!

SAUT chuo cha kata? Unaakili wewe? Na mi nathani wewe ndio think capacity ndogo sana, umesoma kweli wewe, alafu we ndio uliechangia pumba. Kama umesoma we ulikua unaangalizia tu. na hofia uwezo wa akili yako.

nitafukunyua mpaka nijue ni yupi mwenye sifa za ziada ndio nitamchukua. Najua hawawezi kuwa sawa kila kitu.
sasa hapo ndo ufikirie una mtu wa UDSM na mtu wa chuo kingine kama Tumaini au St Augustine lazima mtu wa UDSM abebe ndoo

sasa hapo ndo ufikirie una mtu wa UDSM na mtu wa chuo kingine kama Tumaini au St Augustine lazima mtu wa UDSM abebe ndoo

Kuna fani nyingine hazifundishwi UDSM kama Transportation & logistics, Libralianship etc sasa kama vyuo vingine vinatoa degree ktk mambo hayo kwanini watu wasisome na kuheshimika, katika fani kama ya Engineering UDSM ndiyo bado ipo fit na hasa ktk vifaa na Waalimu

Ebwanaee mimi kama mwajiri nachukua jembe la kulimia la ukweli si aina ya jembe na wapi limetengenezwa. Mtumwa mzuri ni yule mwenye afya na anayeweza kunizalishia. je ni chuo gani chatoa watumwa wazuri...teh teh teh. Labda ungejiuuliza hivi mimi jinsi navyojiona je naweza kujiajiri kwa kutumia elimu niliyopata na nina attitude njema ya kuwa mkurugenzi wa kampuni yangu after sometime. Huyu jamaa yafaa ajiamini na ajue kuwa yeye ni bora sana ndipo atafanikiwa la sivyo siku atafika kwenye interview anakuta watu wanasemami bwana nilikuwa cambridge or harvard or oxford anaweza zimia ooh .