Mtu akisema anasoma Chuo kikuu,
haitaji hata kukitaja kwa jina. moja kwa moja amakuwa anamaanisha UDSM
Nafikiri Tanzania stili tuna chuo kikuu kimoja tu!
Usemayo mkuu ni kweli kabisa kwani mwenzako last year nilienda kijijini na katika maongezi na babu yangu akaniuliza siku hizi Mwalimu Nyerere anasaidiwa na nani kuongoza chama cha TANU! Alikuwa anamaanisha katibu mkuu wa TANU siku hizi ni nani!