The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,906
Mkuu inaoneka hujaguswa kabisa na huu msiba, kulikoni?
nimeguswa mno
but kuomboleza kwa staili ya kifo cha nyerere sikubaliani...
hata kifo cha nyerere sikupenda kuomboleza vile
Mkuu inaoneka hujaguswa kabisa na huu msiba, kulikoni?
labda wewe ulitaka waomboleze vipi?
nimeguswa mno
but kuomboleza kwa staili ya kifo cha nyerere sikubaliani...
hata kifo cha nyerere sikupenda kuomboleza vile
Nilitegemea tbc wangekuwa msitari ya mbele kuunga mkono tangazo la mkuu wa kaya. Cha kushangaza hakuna cha maombolezo wala nn. Sijui ni kutomwelewa mkuu wa kaya au nyodo kwa tunaowalipa posho?
ha ha ha una akili ya pekee sana.nasikia muungano ulisha vunjika, kwa hiyo iliyozama ni meli ya wachina na imezamia hukohuko uchina.
Basi kama kuomboleza ni kutokwenda kazini basi na watu wasile wala kulala... (Ama sijui maana ya kuomboleza mie?)kwani kuomboleza huku mkifanya kazi zenu kama kawaida...haiwezekani?????
kwani kuguswa na msiba ni kugoma kufanya kazi?Mkuu inaoneka hujaguswa kabisa na huu msiba, kulikoni?
Kuna haja gani ya kuwafundisha namna ya kuomboleza!.Laana ya Allah ndiyo huwa fundisho kwa asiyejuwa ubinadamu au mwenye kudharau jirani zake kwa faida ya watu wa mbali.Nakusudia....Tanzania na USA.Mkuu hii serikali ni legelege sana na si makini wala sikivu, TBC na waziri wa habari, linatokea jambo zito kama hili watu zaidi ya mia tatu, wanashindwa kuomboleza? nakumbuka mzee Mengi alifariki mwanae EATV na ITV ziliomboleza more zan Ten days, cheki sept 11 leo wenzetu wanavyoomboleza... kama tukio la mwaka jana, ila sishangai maana hata PINDA ambae ni PM hajafika Zanzibarkuomboleza mpaka dakika hii. TBC wangekuwa msitari wa mbele wanazidiwa hata na Issamichuzi blog yake kweli inaomboleza inakusanya salaam za rambirambi na vitu kama hivyo. TBC walipaswa pia serikari legelege
Ila kuna haja ya kuangalia upya hizi ajali kubwa zinazo ua watanzania wenzetu zinatokea vp. Mimi nimeshitukia kitu.
26/5/1996. Mv Bukoba ilizama na kuua mamia ya watanzani. Hii ilikuwa baada ya uchaguzi wa 1995. Hali kadhalika mwaka 2001 treni iliua tena mamia ya watazania wenzetu Dodoma pia hii ilikuja mwaka baada ya uchaguzi wa 2000. Haya tena 10/9/2011 meli imezama Zanzibar na kuua tena mamia ya Watanzania hii nayo imekuja mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2011. Mi nadhani kuna haja ya kuangalia upya hizi ajali isije ikawa watanzania wanatumika kufanikisha maslahi ya watu flani.
FIKIRIA CHUKUA HATUA.
mi nafikir hyu mkurugenz wa ss amekosa vipaumbele kwny kazi yke..nami naamini hivo, tido kafanya mengi na alijua kipi kitangazwe lini. Naona baada ya kupata comments zetu angalau wamestuka na kuweka angalau updates kiasi.
Naamini kuwa kila mtu anaweza fanya kitu fulani kwaajili ya jamii, lakini ni watu wachache sana wanaweza fanya vitu vinavyogusa maisha na mioyo ya walio wengi
wamekosa creativeness, hawajawa proactive na accountabilitymi nafikir hyu mkurugenz wa ss amekosa vipaumbele kwny kazi yke..
Leo september 11,kila television ukifungua unakuta newyork city wanaomboleza,jee maafa waliyopata wao na hapa kwetu zanzibar yana tofauti gani ? Kara yupo au lalala fofo fofo ? Tv zote zinarusha vinyago ni aibu,wenzetu wanatucheka,ukisoma habari katika bbc wana hii ni Big disaster ,jee bado tu hatukubali kuwa huu ni msiba mkubwa ? kudadadeki zao Viongozi wa television,munatia hasira kwelii,ndio maana tunauchukia muungano.
kuna watu wanatujali zaidi,CNN wanaonesha mara kwa mara,achana na hawa wehuKwani kazi yao kama chombo cha habari ni nini?coz watu tunafatila kujua nini kinaendelea kule wala hakuna wanachoonyesha..pia sio watu wote wanafahamu maana ya siku 3 za maombolezo,kazi zitaendelea kesho kama kawaida au hapana..taarifa kama hizi walitakiwa wawe wanazitoa mara kwa mara,watanzania wafahamu