Vyeti vyatikisa nchi.Waliopotelewa wajisalimisha NECTA, * NSSF yagoma kulipa ambao hawajawasilisha

Sie wengine tulioishia form four wala hatuna tetema kabisa.
mkuu NN afadhali umerudisha picha ya Avatar yako. Yani ulipoweka ile nyingine majuz Yani hata kwenye michango yako tulikuwa hatukufeel kama NN mwenyewe. Komaa tu na hii Avatar picture permanently. Heshima yako mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizi avatar aisee zimezoeleka sana humu kiasi ambacho ukibadili tu basi unafuatwa na watu pm wakilalama kwanini umebadili avatar yako na wengine wala huna mazoea nao kihivyo na kukuomba urudishe avatar waliyoizoea. Nina hakika Nyani Ngabu pia kaombwa na watu mbali mbali humu kwamba arudishe avatar waliyoizoea na wanayoipenda pia.

Tulilea hili tatizo wenyewe acha litutokee puani. Taifa ambalo tunapenda mizaha mizaha tuu kwa wasomi na wasio wasomi kwa aliyejuu na aliyechini. Angalia hao wasomi wetu had wananyunyizia unga bungen na wana madigrii ya hatari. Viongoz wetu kufukuza watu hadharan kwenye ufunguz wa daraja wengine
 
Hizi avatar aisee zimezoeleka sana humu kiasi ambacho ukibadili tu basi unafuatwa na watu pm wakilalama kwanini umebadili avatar yako na wengine wala huna mazoea nao kihivyo na kukuomba urudishe avatar waliyoizoea. Nina hakika Nyani Ngabu pia kaombwa na watu mbali mbali humu kwamba arudishe avatar waliyoizoea na wanayoipenda pia.
kuna wakati hata wewe ulipotea humu watu tulianzisha had thread kukuulizia hadi MTAZAMO kila mara akawa anauliza. Uliporudi tu mchango wako wa kwanza nyoyo za watu ziliridhika
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ila jaman suala la uhakiki wa vyet kwann usifanyike kama uhakiki wa silaha?
aya tunaanza mh rais kama mfano na jopo lako la watu wa kalibu
alaf sisi huku mh makonda atapita kila nyumba kuhakiki hvyo vyet
kama huna uende jera au kulima
 
Hizi avatar aisee zimezoeleka sana humu kiasi ambacho ukibadili tu basi unafuatwa na watu pm wakilalama kwanini umebadili avatar yako na wengine wala huna mazoea nao kihivyo na kukuomba urudishe avatar waliyoizoea. Nina hakika Nyani Ngabu pia kaombwa na watu mbali mbali humu kwamba arudishe avatar waliyoizoea na wanayoipenda pia.

You are 100% right.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ila hili la kuzuia mishahara wakati mtu kaufanyia kazi lina mushkeri maana hata nukuu za kiimani zinasema lipa mtu ujira wake kabla jasho halijamkauka na waajiri jasho kukauka kila mwisho wa mwezi!
 
Ukweli gani wewe?

Hivi unadhani Trump akishinda atawafanya nini watu weusi?

Yaani mna fikra za ajabu ajabu kweli.

Atawafanya nini unadhani?

Hujui hata nguvu alizonazo rais wa Marekani lakini upo hapa unahororoja tu.

Eti ukweli....ukweli gani?

Stop being stupid.
Tatizo lako unajidai unaijua Marekan kuliko mtu yoyote yule, Kwan anavosema ataweka mpaka mkubwa Kat yake na Mexico nani atamzuia? Na VIP akiamua kuondoa watu weusi nchini mwake kwa wasiokuwa na uraia, Nani atamzuia?
 
Hujui unaloliongea.
 
Is somebody can tell me why mkoa wa pwani na hasa wilaya ya Bagamoyo is either inaongoza au ndio imekua ya mfano, and the question is why that!!!?
 
&cheni uongo majeshi hadi leo wanaajili hata ambao hawajamaliza primary ili mradi umetimiza vigezo mf.wacheza mpira au mafundi wa aina yoyote kama chelehani nk kwa hiyo sidhani mtu wa hospital au mwalimu anaweza kuajili mwenye sifa kama hizo
 
Back
Top Bottom