ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,747
Dada Mamndenyi,ulivyo jibu kwa kusikitika,huku ukisema eti unasikitika kwani "yupo on the way" ni dalili ya unyanyapaa eti!
Kujikwaa si kuanguka dada mkubwa!
jamani mbona mnamshambulia sana huyu dada tatizo letu waswahili mtu tumezoezwa kuzunguka mtu akisema direct anaonekana ananyanyapaa mlitaka asemeje anaishi kwa matumaini au? hata mimi nilikuwa na mtazamo kama wengi wanavyotazama nilikuwa nchi mmoja Ulaya tukiwa tunaona wagonjwa DK.akamwambia mgonjwa kuwa atakufa si muda mrefu wajiandae tu na process za mazishi....
nilimuona yule DK.kama kapungukiwa busara nilipouliza nikaambiwa kipi kizuri huyu mtu, ni kweli anakaribia kufa si bora aambiwe ukweli ndugu zake wajiandae mapema au kumdanganya atapona wakati hali ilikuwa dhahiri atakufa alikuwa na kansa akiwa kwenye hali mbaya sana........hata tukishutumu mimi mwenyewe najua nitakufa siku moja,wengi hawautaki ukweli huu lakini ndo hivyo kila nafsi lazima ionje mauti tulitoka kwa udongo tutarudi kwa udongo.