Mikoa ya Njombe na Mbeya yaongoza tena kwa Maambukizi ya UKIMWI Tanzania

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1701586517002.png

Utafiti wa Hali ya UKIMWI nchini (Tanzania HIV Impact Survey - THIS 2022/23) umeonyesha kiwango cha maambukizi ya UKIMWI kwa watu wazima (miaka 15 na zaidi) kuwa kimepungua kutoka asilimia 4.9 mwaka 2016/17 hadi asilimia 4.4 mwaka 2022/23.

Mikoa mitatu yenye kiwango cha juu cha maambukizi katika Utafiti huu ni Njombe (12.7%), Iringa (11.1%) na Mbeya (9.6%), na.

Mikoa yenye maambukizi ya chini ni Kigoma (1.7%), Manyara (1.8%) na Lindi (2.6%).

Kwa Utafiti wa mwaka 2016/17, mikoa iliyoongoza kwa kiwango kikubwa kwa maambukizi ilikuwa ni Njombe (11.4%), Iringa (11.1%) na Mbeya (9.3%). Mikoa iliyokuwa na maambukizi ya chini ilikuwa ni Kigoma (2.9%), Manyara (2.3% na Lindi (0.3%).

Katika kufikia malengo ya 95-95-95 ifikapo Mwaka 2025, Kiwango cha watu wanaofahamu hali yao ya maambukizi kuhusu VVU ni asilimia 82.7 kwa 2022/23 kulinganisha na asilimia 60.6 kwa mwaka 2016/17,

Kiwango cha Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (WAVIU) na wanatumia dawa za Kufubaza VVU (ARV) ni asilimia 97.9 kulinganisha na asilimia 93.6 mwaka 2016/17

Aidha, kiwango cha wanaotumia dawa na wamefubaza VVU ni asilimia 94.3 mwaka 2022/23 kulinganisha na asilimia 87 mwaka 2016/17.
 
View attachment 2831984

Tulia uandike vizuri
 
Kuna shida Lindi
 
Baridi hilo

Sawa kama utafiti ulizingatia hatua zote za kitafiti
 
Si walisema come 2025 watakuwa wametokomeza maambukizi. Wizara ipige kambi huko.
 
Baridi, kukosa Elimu na Ulanzi ndio chanzo cha huo UKIMWI huku kwetu nyanda za juu kusini. Wanawake wa huku hawana msimamo, memgi yanakubali kulalwa bila condom sijui kwanini japo pia hii taarifa sijajua ni ya TACAIDS au NGO zinazotafuta fedha.
 
Daadeki! Khehhh mamaaaaaa. Huku nililiwa na lijamaa la Njombe?! Tayariiiii. Basi kwaherini
 
Back
Top Bottom