Mambo mengine yanauma kama umechomwa mkuki moyoni. poleni sanag
mbona pole kwan kunatatizo kuuliza!
huwa naumia sana kuona kwamba japo huyu mtoto yupo
lakini yuko on the way,
kwa kweli huwa sipendi kabisa.
who said ur not on the way?tena even before her....acha unyanyapaa wako shenzy!!!
hee yamekuwa hayo,
ngoja nikuripoti na mathusi yako.
huwa naumia sana kuona kwamba japo huyu mtoto yupo
lakini yuko on the way,
kwa kweli huwa sipendi kabisa.
wameshindwa la serukamba litakua hili..........ripot ila ujumbe umekufikia umeniboa sana hustahili kuitwa Great thinker.
wameshindwa la serukamba litakua hili..........ripot ila ujumbe umekufikia umeniboa sana hustahili kuitwa Great thinker.
Kumbe wengine hakuna ni waathirika tu!!!!????
Kwanza niseme mtoto haambukizwi UKIMWI-Ukosefu Wa Kinga Mwilini. Ila anachoambukizwa ni VVU-Virusi Vya UKIMWI.Hakuna mtu anayeweza ku gurantee miaka ambayo mtoto anaweza kuishi baada ya kuzaliwa na HIV maana inategemea na kinga za huyo mtoto kama ziko weak ni hakika anaweza kufa akiwa bado mtoto lakini akiwa na kinga kubwa mwilini mwake anaweza kukua hata kuwa mtu mzima.
huwa naumia sana kuona kwamba japo huyu mtoto yupo
lakini yuko on the way,
kwa kweli huwa sipendi kabisa.
Dada mkubwa Mamndenyi,hapa umepotoka aisee!
We are all on the way,na kutokuwa na UKIMWI si guarantee hata kidogo kuwa utaishi miaka mingi.
ni aibu sana kama hadi leo kuna watu wana mtazamo hasi kama wako, shame on you mamndenyi
i was replying this " Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?
lakini nilikuwa kwenye thread shosti.