tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 43
Tatizo lipo kwa hao wazazi wawili elitakiwa wamalize hili swala kwa kuwakimia na kuwapa adhabu watoto wote wawili eli iwe fundisho kwa watoto wengine piya tuwafundishe watoto wetu majumbani maana ya kuvumiliana na kuheshimiana kama ilivyokuwa miaka ya nyuma. Hao watu wengine wamepata nafasi ya kufanya hicho walichokifanya kwa kuwa hawa wazazi wawili walikosa busara ya kumaliza hili swala kwa kuwakanya watoto wao wawe na heshima mbele za watu na imani za wengine