Vurugu za kidini: Kauli ya January Makamba...

Pumbavu kabisa hili ndio tamko gani sasa
Tusipuuze kil kitu pls. Labla aliekosea ni mleta mada kwa kuliita tamko lakini kimsingi anaeleza experience yake kua waislam na wakristo tunaeza kuishi pamoja.
Kama baba na mama yake wameish chumba kimoja na wamemzaa yeye wakiwa dini tofauti haiwez kushindikana kuishi mtaa mmoja tukiwa dini tofaut.
 
Msimtukane January kwa kauli yake. Kumbukei kauli hiyo hakuitoa kama tamko bali inaonesha alikuwa anachati na mtu mwingine. Angalieni pengine imetoka kwenye tweeter ili mjue walikuwa wanaongelea nini.
 
Mama yake ndie aliyefanya january asome shule,angekuwa mwislamu angeishia Elimu Akhera!
 
Unamtukana naibu waziri? Yupo humu atakuja@kiranga

Je unajua kuwa unavunja kanuni za JF kwa kumtambulisha KIRANGA kuwa ndio January kama ni kweli; though I do not believe because the real KIRANGA is very intelligent!!
 
Mbunge wa Bumbuli atoa tamko:

attachment.php

Wewe ni mke/ secretary au hawara yake?
Kwanini unaipost huku JF wakati yeye hakupost? Unadhani haijui JF?
Kwanini unajipendekezesha kwake? Mbona mimi nimeikuta huko na sikuileta hapa?
Amekulipa shi ngapi?

Sa hili ndo tamko gani?
 
Kumbe na yeye anagonga Mbuzi katoliki???!!! Nimefurahi sana hii, soma vizuri ndio utaelewa maana huwa wakifanya sala (swala) japo swala hafanywi!!!! huwa Mama wa watu nae anajifunika, wakati wa kufunga Mama nae hufanya vivyo hivyo, sasa tuje upande wa pili-Mama. Akija na kitoweo chake je????

waislamu hawana tolerance ya dini nyingine..christians can accomodate, but muslims cant...hii ndiyo maana ya twiter ya mheshimiwa huyu
 
Kumbe na yeye anagonga Mbuzi katoliki???!!! Nimefurahi sana hii, soma vizuri ndio utaelewa maana huwa wakifanya sala (swala) japo swala hafanywi!!!! huwa Mama wa watu nae anajifunika, wakati wa kufunga Mama nae hufanya vivyo hivyo, sasa tuje upande wa pili-Mama. Akija na kitoweo chake je????

RED January kashindwa kuhabarisha kwamba MAMA yao anafuata misingi ya dini ya kisilamu yote, na wao hawafuati misingi ya dini ya mama yao, ingekuwa wanafuata misingi ya dini zote mbili basi hawana dini,
Nachojaribu kusema ni kwamba kauli yake ina mushikeli, yeye angesema tu tushi kwa kuvumiliana na kuheshimiana, wasilamu na wakristo tuna intersection moja tu UTANZANIA, lakini kusema kwamba tunaweza vumilia mambo ya kidini kiasi anachosema JANUARY ni upotoshaji, tuna mipaka mingi sana ya kidini LAKINI tusikubali mipaka hiyo kuingilia TAIFA, isiwe ya kitaifa, japo kifamilia ni ngumu sio rahisi kama alivyoweka JANUARY
 
Back
Top Bottom